Waziri Mwigulu usije kuanza kumlaumu Tundu Lissu kwa madeni ya mikataba

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,600
8,741
Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba.

Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni serikali kuhusu hii mikataba!.

Mkimwona Lissu anacheka ni kwasababu hajasikilizwa bungeni na serikali badala yake wapinzani walipuuzwa wakati wa mikataba mingi.

Tusiwe warahisi kutafuta wachawi badala ya suluhisho.
 
🤣🤣🤣CCM na serikali yao ina feli sana
 
Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni serikali kuhusu hii mikataba!.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom