Waziri Ummy: Kuhusu tetesi za Covid-19 Wananchi nawaomba mtulie

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema kuna tetesi za Covid-19 anaimba Wananchi watulie

Ummy amesema wanachakata taarifa Kutoka vituo mbalimbali kama kuna dalili za ongezeko la matatizo ya kupumua kisha tutatoa taarifa

Waziri Ummy ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter

Mlale Unono!
 
Tutulie wakati tunakufa? Kweli ccm haithamini uhai wa raia wake.
 
Nasema hivi, huwa sipendi kukosoa Serikali kwa sababu zisizoweza kuzuilika.
Serikali haiwezi kuwa Reactive wakati matukio yanayotokea na masuala yanayoambatana nayo kuwa yana dharauliwa au kupuuzwa. Wacha nitoe dukuduku zangu, mods msinihujumu.

Wizara ya Habari, Wizara ya Afya, Wizara ya Ustawi wa Jamii-Nyote mnahusika kwa namna moja au nyingine kana Wanajeshi wa mstari wa Mbele. Mnawajibu wa kukabiliana na makombora makali na athari zake hasi kufikia Jamii kwa Ujumla.

Usalama wa Raia(Wananchi) na Usalama taarifa na Habari Usalama wa Afya ya Jamii na hata Ustawi wa jamii unategemea kama mtafanya kazi pamoja(Dunia imebadilika) ili tuwe na Usalama wa Kitaifa kama sio Taifa. Yaani kiwe ni kipaumbele kweli kweli.

Ukitazama ilivyokuwa huko nyuma, yaani kipindi cha Information Technology kilivyoshika kasi mpaka kufikia hapa tulipo unaona tunachelewa, yaani tupo kukubali kibiashara na kimasilahi ya wachache kuliko kujikita kuangalia athari zingine zaidi ya zile mnazoziita "maendeleo" au Uchumi unakuwa kwa uwekezaji?

Nawauliza, Mnashindwa nini? It is Apparent mnahumuka, it is apparent mnaogopana kupeana miongozo yenye tija katika Usalama wa Afya ya Jamii. I say it, collectively, you have failed! Sasa niwashauri mkae kitako mtengeneze an Intra agency Directorate kuratibu na kuangalia mienendo ya Taarifa zinazosambazwa Mitandaoni kwa haraka zaidi kuliko mlipofikia-well, you are not Proactive! Hiyo Directorate iwepo TCRA na iungwe kwenye Data centre zote Nchini, sambamba mfanye dharura , yaani dharura ya kweli kufanya hayo.

Msitegemee wale mnaowaita "wanaotufundisha" au "Wataalamu wa nje" au "Wawekezaji" au "Walioendelea" kuja kuwafundisha namna ya kukabiliana nao katika vita za Habari. Yaani Misinformation-Disinformation kwani asilimia kubwa tija na faida inatokea kwao na athari zingine au madhara, tena hasi kuonekana au kutokea kwetu.

Akili bandia is Real-in a sense, umezeshwaji wake wa taarifa ni haraka zaidi ya mie kumaliza kuandika dukuduku zangu, ila msiwe mnakurupuka tu pale mmoja wenu au baadhi yenu(Serikalini) mnapoguswa kwa ukaribu na taarifa potofu.

Mjitathimini mfanye dharura ya dharura mtatue kero wanazozipata Wananchi na hatimaye nyie mliopo madarakani. Wenzenu hao mliowapa majina hayo niliyoorodhesha juu, wanafanya hivyo kila kukicha, kuanzia mabunge mpaka viongozi wanatoa miongozo ya nini kifanyike, kipi kikubaliwe, kipi kikubalike kipi kibadilishwe, kisheria kikanuni na sintoshangaa ikija kufanyika Kikatiba kukabiliana na athari zinazoeleweka zinatokana na MisInformation Disinformation katika Jamii.

Mfano taarifa -Kuanzia Kifo cha Hayati, maneno ya Viongozi mpaka msiba huu uliotokea. Yaani Upuuzwaji wake, Uchanganuaji wake, Kauli, maneno, vijembe na Uhasi wa kibinafsi kumechangia asilimia 102% ya Taarifa za Covid-19 weather true or not. Jamani habari zinasambaa haraka. Do something. Wizara ya Nape ina Kitita kikubwa cha hela kuhusu haya ya upotoshaji na usambazaji wa taarifa potoshaji kwa mwaka wapili mfululizo lakini hatuoni uwaafadhali. Kwanini?
Sasa Upuuzwaji wa makusudi, wa Serikali kutokuingilia, kukosoa au hata kutolea ufafanuzi ikiwa ni pamoja na hata Kuwafukuza kazi wale wote wanaohusika, kuchangia maneno yanayoleta na kuchochea Chuki na taharuki baina ya Watanzania, Ukome.
Kuna wakati tulisikia ahhh, yule aliyetoka ulaya atarekebisha vitu fulani....Wapi Tunalega wapi?

Narudia, Wizara nilizotaja zikae kitako na kutafakari njia ya kukabiliana na matatizo athari na madhara ya Taarifa potoshaji..Waanze na vyanzo mpaka sheria na kanuni na wasisite kutoa miongozo pale suala fulani linapotokea badala ya kupuuza mpaka watu tunataka kutoana ngeu kwa maandishi-yaani ingewezekana nina uhakika lingefanyika. Ila haya maandishi nayo yanawafikia wengi kwa dhoruba kali zaidi na hata physical bado ni makali. Tujitathmini, mjitathmini.

....hatahivyo Serikali-you have left us to speculate. Waziri Ummy umekurupuka after the facts

Usiku mnene Poleni Nyote
 
.
IMG-20230514-WA0001.jpg
 
Kwa hiyo unaona umeandika bonge la noondoz.
 
Hivi sijui kwanini wanakuwa nyuma sana Uganda walifanya utafiti mapema na wizara husika ikatoa waraka tarehe 12 sisi ndio tumelala kama kawaida yetu ndio tunaanza kutafiti sasa
 
Back
Top Bottom