Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika...
22 Reactions
2K Replies
126K Views
Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja, Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu Kwa niaba...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye kwa mara ya kwanza ndani ya wiki mbili kiongozi wa Tanzania amezungumzia kuhusu afya ya Rais na kusema ni mzima tena anachapa kazi wala hana issue. Binafsi namtakia kila la kheri, huwa...
15 Reactions
243 Replies
42K Views
Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamesema falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ikitekelezwa itakuwa na manufaa kwa ustawi wa nchi. Wamesema hayo zikiwa zimepita siku chache tangu Rais Samia...
0 Reactions
1 Replies
476 Views
Katika mikutano ya Chadema hivi karibuni baadhi ya wahutubiaji wake kumekuwepo na viashiria vya dharau kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Maneno mengi ya kujilabu yalionyesha wazi kuvidharau...
3 Reactions
15 Replies
991 Views
Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali...
2 Reactions
7 Replies
865 Views
📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya...
7 Reactions
90 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma...
15 Reactions
55 Replies
5K Views
Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku atoa ushauri wake sakata la Uwekezaji Bandari " Watanzania hawajaridhika na jambo hili,tulisahihishe ama tuliache kabisa" ---- Natoa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais, sisi wakulima wa zao la korosho ni miongoni mwa watu tusiosikilizwa na tunaopigwa danadana kwenye mambo mengi sana, Bila msaada wako hatuwezi kunusurika. Kwa nia safi Kabisa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…