Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
1688453201543.png

Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa)

Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe.

Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia.

Lakini mbinu aliyoitumia ni kama iliyotumiwa na Spika, Dkt. Tulia Ackson. Yaani mbinu ya kufunika kombe ili mwanaharamu apite bila kuleta madhara.

Ametumia muda mwingi kujadili maadili ya ngono, akijielekeza kwenye "maadili ya mkunndu, kumma na mmboo," yaani "maadili ya MKUMBO," wakati ajenda kuu katika vichwa vya watu ni ulizni wa mmaliasili zilizoko bandarini. Anataka kupindua ajenda kijanja.

Lakini, hili haliwezekani, maana mbele yetu kuna mkataba wa kikatili, yaani "onerous contract," ndio kusea mkataba unaotutwisha mzigo wa hasara kubwa kuliko faida itakayopatikana.

Badala yake, njia nzuri inayoweza kutumiwa na Jumuiya za CCM kulisaidia Taifa, katika kipindi hiki kigumu, ni kujielekeza katika kujadili tuhuma ifuatayo dhidi ya watumishi wa umma walio Ikulu na Bungeni:
  1. Under international law, the following are the ways by which a state can acquire territorial sovereignty: discovery and occupation of unoccupied land (terra nullius), conquest, cession, accretion, and prescription.
  2. The Tanzania-Dubai Treaty, under articles 4(1), 20 and 23(4) grants to Dubai eternal use ownership rights and eternal fruits ownership rights over 88 Tanzanian land segments on which ports are located, hence, covertly granting substantive ownership rights to Dubai over these ports; this being territorial sovereignty transfer from Tanzania to Dubai , where, this mode of territorial sovereignty transfer is neither occupation, nor conquest, nor cession, nor accretion.
  3. Thus, this mode of territorial sovereignty transfer from Tanzania to Dubai , which was endorsed by the Parliament on 10 June 2023, is by means of an intentional, fraudulent, and covert prescription via a bogus Treaty akin to Musovero Bogus Treaty between Chief Mangungo of KIlosa and Karl Peters of Germany as concluded in 1884.
  4. Partial or total transfer of Tanzanian territorial sovereignty to Dubai, or any other exogenous international actor, regardless of whether it is covert or overt, is violative of article 1, article 2(1), and article 8(1)(a) of the constitution of the United Republic of Tanzania.
  5. Therefore, our Parliamentarians, the Parliamentary Speaker Madam Tulia Ackson and President Samia Suluhu Hassan of Tanzania has violated the constitution of the United Republic of Tanzania, by committing treason, which is the most heinous of all crimes against the state to which one owes allegiance, and where, a person who commits treason is known in law as a traitor.
  6. When the incumbent Parliamentarians, the incumbent Parliamentary Speakers and the incumbent Heads of State become traitors, they lose their right to stay in office.
  7. Thus, our Parliamentarians, the Parliamentary Speaker Madam Tulia Ackson and President Samia Suluhu Hassan of Tanzania have lost their rights to stay in public offices of the United Republic of Tanzania.
Tumempenda sana, tumempigania sana tangu Machi 2021. Lakini sasa mambo yamekuwa magumu. Mbele yetu kuna hoja inayohusu usaliti dhidi ya nchi. Ni hoja inayoweka maslahi ya Taifa mbele kwanza, bila kuangalia sura ya mtu.

Hoja hii ni nembo ya usaliti iliyo mabegani mwa Rais Samia. Ni taji la uaminifu hewa lililo kichwani mwa Rais Samia. Hivyo, njia pekee ya kumsaidia ni kujielekeza katika hoja hiyo hapo juu.

Kuna njia nne za kuangusha nembo ya usaliti toka mabegani mwake na kuondoa taji la kutoaminika kutoka kichwani mwake.

Njia ya kwanza ni CCM kuikubali hoja hii kwa mawazo, kwa maneno na kwa vitendo na kisha kufuata taratibu za kisheria kubatilisha mkataba.

Njia ya pili ni CCM kuikubali hoja hii kwa vipande vipande na kisha kuboresha yale maeneo ambako CCM tunasema hoja hii imekosewa, yaani kuurekebisha mkataba kupitia BUnge.

Njia ya tatu ni kuikataa hoja hii kwa dhati, kwa kuonyesha kwamba ni hoja batili kwa asilimia zote, na kuanzisha mchakato wa kumtafuta mchawi wa Mama ili tumsambatarishe.

Na njia ya nne, ni kuikubali hoja hii kwa mawazo na kuikataa kisanii kwa maneno ya mdomoni, na hivyo kupindua ajenda kwa kutumia muda mwingi kuongelea vihoja vinayochochea mihemuko katika akili za wasikilizaji.

Kwa mfano, tunaweza kutumia muda mwingi kuongelea uchawi, ushoga, ulawiti, usagaji, uzinzi, uasherati, na mambo ya kupindua hoja kama hayo. Mary Chatanda na baadhi ya vijana wa UVCCM wameanza kufuata barabara hii.

Lakini, nijuavyo mimi, kutumia muda wetu mwingi kujadili maadili ya ngono, tukijielekeza kwenye "maadili ya mkunndu, kumma na mmboo," yaani "Maadili ya MKUMBO" kama ambavyo kule vijiweni yanaitwa.

Haya ni maadili ya kukemea uzinzi wa jinsia moja, bila kusahai kukemea uzinzi wa jinsia tofauti. Lakini, mkakati huu hautaweza kufuta hoja hiyo hapo juu.

Ni mkakati wa kuahirisha tatizo tu. Na hasa ni kuzidi kumchimbia kaburi Rais wetu, kwa kuwa wafuasi wake wengi ni wazinzi, wachawi, na ushahidi usiokanushika upo.

Labda kina Chatanda hawaelewi. Nitaeleza kidogo. Misahafu inapokataza uzinzi inakuwa imekataza uzinzi wa mlango wa mbele na uzinzi wa mlango wa uani pia, bila kujali kama jozi ya wazinzi husika ni jozi ya wanaume au jozi ya wanawake.

Na uzinzi wa mlango wa mbele unaoambatana na matumizi ya kondomu hauna tofauti yoyote na uzinzi wa mlango wa uani. Zote ni mbinu za kuvuna anasa za kimwili pasipo uwezekano wa kuzalisha mtoto.

Lakini pia, uzinzi wa mlango wa mbele kati ya wanawake wawili nao unakatazwa na Misahafu. Unaitwa usagaji.

Maana uzinzi ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiye mwanandoa mwenza. Hakuna ndoa ya watu wawili wa jinsia moja.

Hivyo, mapenzi kati ya watu wawili wa jinsia moja ni tendi la uzinzi, kama ilivyo kwa watu wa jinsia tofautio wasio wana ndoa.

Kwa hiyo, hoja ya Chatanda kuhusu madai kwamba uzinzi wa mlango wa uani unakwamisha uhamisho wa uhai kutoka kizazi kimoja hadi kingine haina mashiko, kama anaruhusu uzinzi wa mlango wa mbele unaoambatana na matumizi ya kingamimmba kama vile kondomu, au kama anaruhusu uzinzi wa mlango wa mbele kati ya wanwake wawili wanaosagana.

Pia Chatanda anapaswa kufahamu kuwa, kuna wana CCM wengi, wanawake kwa wanaume, wanaofanya uzinzi kwa kutumia mlango wa uani. Baadhi ni ma-DED, na ushahidi usiokanushika upo.

Kwa hiyo, mkakati wa propaganda uliochaguliwa na kina Chatanda ni sawa na mkakati wa kuilima ngwara CCM.

Hata pale jukwaani alipokuwa Chatanda kuna wenzake wanao watoto watano, kila mtoto akiwa na baba yake. Wote hao ni wazinzi.

Hivyo, Jumuiya za Chama cha Mapinduzi zijielekeze kwenye hoja kuu hapo juu ili kuweza kumsaidia Rais wetu atakate, kama inawezekana. Kama haiwezekani tuweke mpango mbadala mapema.

Rais wetu Samia hana hakimiliki juu ya kiti cha Urais, kama ambavyo Chatanda anataka watu waamini. Na wala sio lazima Samia aendelee kuwa Rais wa Tanzania hadi mwaka 2025.

Nasema hivi kwa kuwa hali ni tete. Mkataba wa DP World ni kaa la moto. Ni mkataba ambao umeufanya umma kutilia mashaka kaulimbiu kwamba “wanawake wanaweza kifikiri, kuhukumu na kutenda barabara.”

Angalia. Alianza Samia kwa kuidhinisha kusainiwa kwa mkataba huu tata, akiwa amefanya hivyo kwa kificho hadi hapo "eagle eyed fellows" walipoamua kupuliza filimbi, yaani kufanya "whistleblowing."

Kisha, akafuata Dkt. Tulia kwa kuutetea bungeni mkataba huu tata na kuhakikisha unapitishwa kibabe, hata bila kusoma ibara zake na kuzinyoosha.

Unazi aliouonyesha siku ile ya tarehe 10 Juni 2023 ulishusha hadhi yake kama mwanasheria kwa asilimia 75.

Sasa amefuata Mwenyekiti wa UWT, Mary Chatanda, anayesema kwamba mkataba huu hauna tatizo; na kwamba wanaoupinga wanamchukia Rais Sammia, eti wanataka kumpokonga Urais.

Lakini, Chatanda anasahau kwamba, nakala ya mkataba iliyoko mikononi mwa umma mitandaoni, na ambayo haijakanushwa na serikali, inathibitisha tatizo lililotajwa hapo juu.

CCM tujipange vizuri ili kuokoa jahazi. Hata kama kusingekuwa na vyama vya upinzani, bado kuna tatizo kubwa linapaswa kutatuliwa na CCM.

MIkataba ya KImataifa inayohalalisha ukoloni wa walowezi wa kigeni usio na ukoo wa muda sio sehemu ya sera za CCM. Pia, jambo hilo linavunja Katiba ya nchi ibara ya 1, ibara ya 2(1) na ibara ya 8(1)(a).

Tena, katika mmfumo wa demmokrasia ya vyama vingi, usanii wa kisiasa hauna nafasi. Kunahitajika ushindani wa hoja, Na watanzania ni waelewa sana siku hizi.

Hivyo, njia pekee ya kuondoa "nembo ya usaliti" mabegani mwa Samia na kuondoa "taji la kutoamminika" kutoka kichwani mwa Samia ni kubatilisha mkataba huu kupitia Bungeni.

Naona kwamba, kakati wa kuurekebisha mkataba huu hauna msaada sana, maana tayari mitima ya watu imekwishatumbukiwa nyongo.

Namalizia kwa nukuu hotuba ya Mwalimu Nyerere, kutoka kwenye hotuba yake aliyoitoa siku CCM ilipozaliwa, mnamo tarehe 5 Februari 1977, ukurasa wa 6, yenye kusisitiza jukumu la CCM katika "kulinda uhuru na heshima ya nchi yetu" kwa kumwajibisha kiongozi wetu anayekiuka misingi ya kikatiba, kisera, kikanuni na kitaratibu. Hotuba yote imeambatanishwa hapa chini.

1687535009348.png

Na hatimaye hapa chini naweka wosia wa Nyerere kupitia hotuba yake ya mwaka 1995, kabla ya uchaguzi mkuu, wakati ule Lyatonga Mrema alipokuwa anatishia uhai wa CCM>

=====KIAMBATANISHO CHA KUFAFANUA MISAMIATI MUHIMU==========

Occupation: Occupation is the acquisition of unoccupied land (terra nullius) - that is when a State intentionally acquired sovereignty over territory, belonged to no State.

Subjugation: Subjugation is the mode of acquisition of territory by conquest followed by annexation.

Cession: Cession is transfer of territory from one State to another State. The cession of territory means the renunciation made by one State in favor of the rights and title which the former may have to the territory in question.[6] It has often taken place within the framework of treaty either in peaceful or postwar situations. In order to effect cession of territory, it must be clear that transfer of actual sovereignty is intended. Cession without intention cannot legally operate.

Prescription: The means by which, under international law, legal recognition is given to the right of a state to exercise sovereignty over land or sea territory in cases where that state has, in fact, exercised its authority in a continuous, uninterrupted and peaceful manner over the area concerned for a sufficient period of time. When State acquires territorial sovereignty over another state by way of prescription, it needs to be accompanied by acquiescence on the part of losing State or if the protests, acts or statements of other States demonstrate lack of acquiesce, it may prevent acquisition of title by prescription.

Accretion: Accretion refers to the natural geographical processes that results in an increase or decrease in the territory (physical expansion of territory) due to natural formation of land. It results in new formation of land. New formation may be natural or artificial i.e., outcome of the human work. Artificial formations include man-made islands, embankments, dikes, breakwaters and so on along the coast -line of the sea.

Source: Acquisition of Territorial Sovereignty
 
Attachments

  • HOTUBA YA MWALIMU NYERERE 1977.pdf
    327.3 KB · Views: 3
Kama Mchakato wa Katiba Mpya pamoja na umuhimu wake na hatua iliyofikia bado ilionekana busara kuahirishwa kwanini na la Bandari lisiahirishwe hadi baada ya uchaguzi wa 2025 ili tujitafakari kama nchi?

ukizidiwa mchezoni sio dhambi kurudisha mpira kwa kipa
 
Na hali ikiwa mbaya zaidi half time mnaondoka moja kwa moja na hamrudi mchezoni..., Kuna timu zetu kubwa zilishafanya hayo.....
 
View attachment 2677610
Mary Chatanda

Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe, mbele ya RC Halima Dendego.

Ameonyesha dhamira ya kupangisa “uchafu” linalotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni kama iliyotumiwa na Spika, Dkt. Tulia Ackson.

Njia nzuri ya Jumuiya za CCM kumsaidia Rais wetu Sammia, katika kipindi hiki kigumu, ni kujielekeza katika kujadili tuhuma ifuatayo:
  1. Under international law, the following are the ways by which a state can acquire territorial sovereignty: discovery and occupation of unoccupied land (terra nullius), conquest, cession, accretion, and prescription.
  2. The Tanzania-Dubai Treaty, under articles 4(1), 20 and 23(4) grants eternal use ownership rights and eternal fruits ownership rights over 88 Tanzanian land on which ports are located, hence, granting substantive ownership rights to Dubai over these ports; where, this mode of territorial sovereignty transfer from Tanzania to Dubai is neither by means of occupation, nor by conquest, nor by cession, nor by accretion.
  3. Thus, this mode of territorial sovereignty transfer from Tanzania to Dubai is by means of prescription.
  4. Transfer of territorial sovereignty to Dubai is violative of the constitution of the United Republic of Tanzania.
  5. Therefore, President Samia has violated the constitution of the United Republic of Tanzania.
Tunampenda sana, tunampigania sana. Njia pekee ya kumsaidia ni kujielekeza katika hoja hii.

Kupoteza muda kujadili maadili ya ngono, kwa kukemea uasherati wa jinsia moja, bila kukemea uasherati wa jinsia tofauti, ni kuzidi kumchimbia kaburi Rais wetu.

Jumuiya za Chama zijielekeze kwenye hoja kuu hapo juu ili kuweza kumsaidia Rais wetu atakate.

Hali ni tete. Mkataba wa DP World ni kaa la moto. Umeufanya uma kutilia mmashaka kaulimbiu kwamba “wanawake wanaweza.”

Alianza Samia kwa kusaini mkataba huu tata. Akafuata Tulia kwa kuutetea bungeni mkataba huu tata. Amefuata Mwenyekiti wa UWT kwa kusema hauna tatizo.

Lakini, nakala ya mkataba iliyoko mikononi mwa umma mitandaoni ina tatizo lililotajwa hapo juu.

Tujipange vizuri ili kuokoa jahazi. Muda wa usanii umepita. Watanzania ni waelewa sana.

=====KIAMBATANISHO CHA KUFAFANUA MISAMIATI MUHIMU==========

Occupation: Occupation is the acquisition of unoccupied land (terra nullius) - that is when a State intentionally acquired sovereignty over territory, belonged to no State.

Cession: Cession is transfer of territory from one State to another State. The cession of territory means the renunciation made by one State in favor of the rights and title which the former may have to the territory in question.[6] It has often taken place within the framework of treaty either in peaceful or postwar situations. In order to effect cession of territory, it must be clear that transfer of actual sovereignty is intended. Cession without intention cannot legally operate.

Prescription: The means by which, under international law, legal recognition is given to the right of a state to exercise sovereignty over land or sea territory in cases where that state has, in fact, exercised its authority in a continuous, uninterrupted and peaceful manner over the area concerned for a sufficient period of time. When State acquires territorial sovereignty over another state by way of prescription, it needs to be accompanied by acquiescence on the part of losing State or if the protests, acts or statements of other States demonstrate lack of acquiesce, it may prevent acquisition of title by prescription.

Accretion: Accretion refers to the natural geographical processes that results in an increase or decrease in the territory (physical expansion of territory) due to natural formation of land. It results in new formation of land. New formation may be natural or artificial i.e., outcome of the human work. Artificial formations include man-made islands, embankments, dikes, breakwaters and so on along the coast -line of the sea.
Hawa wote ni malaya wanaochumia tumbo kwenye siasa. Hana ujuzi wowote kwenye sheria. Hawa wapumbavu wamesababisha hii nchi kuwa fukara na sasa wanataka kuipiga bei. Hawaoni kuwa unemployment rate iliyoko ni bomu litakalowaangamiza mpaka wao siku za usoni.
 
Unyumbu ni tabia ya watu waliopewa dhamana kwa kujitoa ufahamu, (kuahirisha kufikiri kwa nafsi zao), kwasababu ya masilahi ya kundi fulani,(CCM), ama uoga wa viongozi wao .Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because group objective, (conflict of interest),or fear of their leaders
 
Kama Mchakato wa Katiba Mpya pamoja na umuhimu wake na hatua iliyofikia bado ilionekana busara kuahirishwa kwanini na la Bandari lisiahirishwe hadi baada ya uchaguzi wa 2025 ili tujitafakari kama nchi?

ukizidiwa mchezoni sio dhambi kurudisha mpira kwa kipa
Huyu si ndiye yule aliyesababisha mtafaruku uliopelekea vifo vya raia katika Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya uchaguzi mkuu wa 2010?
 
Back
Top Bottom