Katika mikutano ya Chadema hivi karibuni baadhi ya wahutubiaji wake kumekuwepo na viashiria vya dharau kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Maneno mengi ya kujilabu yalionyesha wazi kuvidharau vyombo hivyo, kwamba tu wao wamesoma sheria watatumia usomi wao kuwapiga bao vyombo hivyo.
Kukamatwa kwa waliokamatwa nionavyo si vinginevyo ila kuonyeshwa kuwa wanaweza kutiwa nguvuni na kufanywa lolote lile na hakuna atakaeweza kuwasaidia.
Unaposema siogopi, njooni munikamate kama si dharau ni kitu gani? Jaribuni kuwa na maneno ya hekima, unaweza kusema vyombo havitendi haki vina upendeleo na kadhalika, ila kutoa mijicho na kusema huwaogopi, haya sasa mnanyea madebe.
Na yule aliesema Raisi ana akili za matope nina wasiwasi anatumika ili kukichafua chama.