Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,305
33,924
1692281237928.jpeg

Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.

Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.

Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
 
View attachment 2720031

Rais kwa mujibu wa Katiba ya JMT hakuna nukta ambayo hawi rais akiwa ndani ya Jamhuri.

Bendera yake ni uthibitisho wa hadhi na mamlaka ya uraisi popote anapoenda.
 
Rais akiwa popote ni rais tu lazima atambulike akikaa chamani kwake hajabadirika kutokuwa rais!.
Mleta mada ni miongoni mwa vijana wanaopambana usiku na mchana huku mitandaoni kuandika ujinga ili kukifurahisha chama fulani na hatimae chama hicho kije kumteua kugombea ubunge ktk uchaguzi mkuu wa 2025.

Na aibu na fedheha kwa chama hicho kukumbatia vijana hawa.
 
View attachment 2720031

Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.

Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.

Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Yaani hawa ccm sijui wanajionaga kina nani ndani ya hii nchi.

Yaani inawezekana rais akawa amelazimishwa na wenye ccm yao ili aingie na bendera ya urais
 
View attachment 2720031

Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.

Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.

Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
imemfuata rais, si ni bendera yake au
 
Wacha ujinga wako wewe,nilini uliwahi kumuona mwl jk Nyerere anaingia na bendera ya serikali ( rais) kwenye vikao vya chama?
we fala hata unamfahamu Nyerere zaidi kumwona kwenye picha na video zilizorekodiwa. Mnauliza mawaswali ya kipuuzi, tafuteni kazi ya kufanya nyie wapumbavu, yule ni rais na mkuu wa nchi hakuna mnaloweza kubadilisha zaidi ya kuumiza roho zenu kwa chuki ambazo mwisho haziwasaidii
 
View attachment 2720031

Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.

Mbali ya hayo kwenye kikao cha CCM wameweka Bendera ya Rais kwenye kikao hicho. Hawa watu wanapenda sana kudharau mambo ya umma kwa kuyachanganya na chama chao.

Samia hapo haongozi hicho Kikao kama Rais wa watanzania bali kama Mwenyekiti wa chama chake CCM.
Unalalamika sana🤣
 
Back
Top Bottom