Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa...
54 Reactions
61 Replies
7K Views
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa...
21 Reactions
75 Replies
9K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Katavi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
23 October 2020 Mbeya, Tanzania RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini. Tulia amesema hayo...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Kwako Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg John Mnyika. Mwaka 2015 uligombea ubunge Jimbo la Kibamba, hongera ulifanikiwa kupita kutokana na mawakala waliojitoa kufa kupona kwa ajili yako, wapo waliokataa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani. Hii inanifanya...
79 Reactions
136 Replies
14K Views
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio. Maendeleo hayana vyama!
9 Reactions
109 Replies
11K Views
CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake. CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi! Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao...
19 Reactions
130 Replies
13K Views
Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe...
46 Reactions
64 Replies
7K Views
Magufuli akiwa Arusha Amesema ameguswa sana kutokana na mapokezi ya aina yake tangu alipokuwa akiingia mjini Arusha ameona majani ya masale yameinuliwa juu na hata hapo mkutanoni yapo, amesema...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jaji Msataafu Thomas Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema kuwa mpiga kura aliyehama sehemu aliyojiandikisha kupiga kura atatakiwa kusafiri kwa muda ili apate haki ya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli. Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Moja kwa moja hojani, Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+ Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama...
23 Reactions
245 Replies
18K Views
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania. Aidha...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI. Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki...
9 Reactions
115 Replies
8K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa...
24 Reactions
90 Replies
10K Views
Back
Top Bottom