Uchaguzi 2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya uchaguzi.

ITV Tanzania

'Mtani' wangu Tundu Lissu kwa nia njema tu nakushauri anza 'Kujiandaa' Kisaikolojia kwani katika Jumla ya Vituo 80,155 vya Kupigia Kura Waliojindikisha wote wapatao 29,188,347 'wameshaamua' kuwa 'watampigia' tu Dk. John Pombe Magufuli huku nafasi zote 264 za 'Wabunge' na zile 5,350 za 'Madiwani' kuwa ni za wana 'CCM' Watupu tu. Hongera kwa 'Kujitahidi' Kushiriki.
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,277
2,000
Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Mkuu navuta picha utajisikiaje yakitokea matokeo mabaya dhidi ya Lissu!!

Usiweke moyo wako wote kwenye maamuzi yanayotegemea mtu mwingine.
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
6,443
2,000
Mkuu navuta picha utajisikiaje yakitokea matokeo mabaya dhidi ya Lissu!!

Isiweke moyo wako wote kwenye maamuzi yanayotegemea mtu mwingine.
Nakwambiaje endapo itatokea Lissu sio Raisi basi jua Magufuli ni mtuhumiwa no 1 kwenye mahakama ya ICC na wakuu wake wa vyombo vya dola.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Yaani Wewe 'Pimbi' usikie kuwa kuna 'Mauwaji' yametokea huko Pemba halafu Mimi nisisikie? Naona mmeshaanza 'Propaganda' zenu mapema tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom