Kauli ya Tundu Lissu kwamba Wafanyabiashara wa Kariakoo wagome hadi Rais Samia aje kuwasikiliza si ya kizalendo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.

Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui.

Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set.

=======

Huyu nae mchochezi kwani waziri mkuu anamuona ni mtu mdogo!? Aache kudharau mamlaka. Uwepo wa waziri mkuu pale tayari ni ishara tosha kabisa kwamba Mh. Rais atapata taarifa zote.
 
"uzalendo ni nini? CAG, katoa report ya kuibiwa ma milioni, watu wapo, labda mniambie maana ya Uzalendo, sijamwona Mzalendo hii Tanzania, labda warioba.
Huyo ni ktk viroboto vilivyobaki humu..
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo

Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui

Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Wagome wafe njaa, wenzao wako kwenye mavieite na per diem kama kawa.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo

Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui

Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Kwani Rais ni wa nani?
Kama wateule wake wameshindwa mwache Rais awatumikie wapiga kura wake
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo

Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui

Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set!
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu 🤔
 
Huyu nae mchochezi kwani waziri mkuu anamuona ni mtu mdogo!? Aache kudharau mamlaka. Uwepo wa waziri mkuu pale tayari ni ishara tosha kabisa kwamba Mh. Rais atapata taarifa zote
Waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa. Majaliwa alichaguliwa na nani? Alipata kura ngapi?
 
Hawezi kuwa na majibu haya. PM ni mtu wa kawaida tu kwenye nchi zenye demokrasi...... sawa na waziri tu ila yeye anakuwa kiongozi wao, but is not fallible! he is subjct to criticism
 
Jiji la Dar es Salaam linatakiwa liongozwe na Raisi.

Yaani cheo cha Raisi kitamkwe kwenye katiba:

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kiongozi mkuu wa jiji la Dar es Salaam
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.

Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba hayajui.

Kuna wakati Tundu Lisu busara za Kiuongozi huwa zinamtoka kabisa na kubakia empty set.

Although siungi mkono kauli yake napenda kuuliza , way forward ni ipi sasa? Maana matamko yamekuwa mengi lakini hakuna la maana lilofanyika
 
Leo tena kawa empty set.
 
Ivi kwa hali ya kawaida Samia yupo wapi what are the daily routine yake yaani nn Cha maana sana anakifanya asijitokeze akaongea na wafanyabiasha na kuwatatulia KERO zao
 
Although siungi mkono kauli yake napenda kuuliza , way forward ni ipi sasa? Maana matamko yamekuwa mengi lakini hakuna la maana lilofanyika
Ukiwaona Watu hawataki kuonana na Mawaziri wa kisekta yaani Kijaji, Mwigulu na Angela na badala yake wanamtaka Rais Samia ujue tatizo ni kubwa sana!
 
Back
Top Bottom