Mzee John Malecela atua Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Hii ndio taarifa iliyotufikia hivi punde kwamba baba Mzazi wa Le Mutuz Nation amewasili Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba.

Taarifa zinaonesha kwamba Mzee Malecela amewasili akitokea Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Haji Manara.

FB_IMG_1684099371227.jpg


FB_IMG_1684099360139.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mke wake Anne yukowapi...?
Pole kwa Mzee Malecela, kuondokewa na mtoto sio jambo jepesi...
Taswira inakuja tangu siku anazaliwa na maisha yake ulipokuwa nae hadi anatwaliwa...

Well, anazidi kuwa mti mkavu.
Dada ake Mange Kimambi nae yuko wapi? Kuondokewa na bro si jambo dogo hasa ukikumbuka makuzi yenu
 
Back
Top Bottom