Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao.

Sijui ndio kutetea haki, hata kama ni kufanya hivyo, siasa ikiingia kwenye haya mambo inaweza pelekea muelekeo tofauti, wakakosa kile walichokusudia kwa sababu watawala wanaweza kuhisi kuna wapinzani wako nyuma yao, mwishowe itakuwa ni kukomoana tu kama ilivyo kawaida ya CCM na upinzani.
 
I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao...
Umeandika meengi bila ushahidi wowote? Hili lilikuwa ni swali kwa mtoa mada. Wewe ulitakiwa kama una evidence uweke. Badala yake wewe unatoa hukumu moja kwa moja!

Ingekuwa hivi kusingekuwa na tafiti hapa duniani
 
I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao...
Hakuna mgomo wala maandamano hapa Tanzania bila upinzani kubwa nyuma ya haya, ule wa madaktari, walimu, wana habari mapema vyuo vikuu so hapa Mbowe anwatuma wafanye yeye anajificha kwenye mwavuli wa madhiriano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao.
...
Kweli kabisa.

Matatizo ya wafanyabiashara ni geunine, lakini Chadema wakiingiza mividole vyao, itanza vurugu na Muliro huyo hapo na wanakosa yote.
 
Hakuna mgomo wala maandamano hapa Tanzania bila upinzani kubwa nyuma ya haya ,ule wa madaktari,walimu ,wana habari mapema vyuo vikuu so hapa Mbowe anwatuma wafanye yeye anajificha kwenye mwavuli wa madhiriano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaacha lini kuota weee ? Mbowe anaingiaje sasa kwenye mambo ya kariakoo? Sometimes ina kera sana mtu mzima kujawa na chuki na kusambaza uongochana kutwa bila kuwa na ushahidi wowote
 
I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao.

Sijui ndio kutetea haki, hata kama ni kufanya hivyo, siasa ikiingia kwenye haya mambo inaweza pelekea muelekeo tofauti, wakakosa kile walichokusudia kwa sababu watawala wanaweza kuhisi kuna wapinzani wako nyuma yao, mwishowe itakuwa ni kukomoana tu kama ilivyo kawaida ya CCM na upinzani.
Ukishadai haki yako tayari ni siasa.
 
Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!
Hao wafanya biashara hapo kariakoo wote ni Chedema?
20230316_002327.jpg
 
Attachments

  • 20230512_225747.jpg
    20230512_225747.jpg
    25 KB · Views: 2
Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!

Kwa hiyo pamoja na uwezo wao mkubwa wa biashara ni wa Pumbavu hivyo? Hii issie lazima inahusiana na Mkuu wa Mkoa pia, jana alitakiwa toa kauli ngumu ya kiume, fungueni maduka acheni ujinga, tutajadiliana baadae, mkwara mkwara, yeye anajiweka pembeni anamsumbua waziri mkuu...

Ndo maana kaletwa yule chalamila wa mbeya, anamudu haya mambo
 
I was thinking about this too, vyema tukumbuke hii issue ilianzia kwa wafanyabiashara wenyewe waka organise mambo yao, mpaka utekelezaji, sasa hao jamaa wa Chadema kuingilia kati sijaelewa mantiki yao.

Sijui ndio kutetea haki, hata kama ni kufanya hivyo, siasa ikiingia kwenye haya mambo inaweza pelekea muelekeo tofauti, wakakosa kile walichokusudia kwa sababu watawala wanaweza kuhisi kuna wapinzani wako nyuma yao, mwishowe itakuwa ni kukomoana tu kama ilivyo kawaida ya CCM na upinzani.
CHADEMA Ndiyo kazi yao wao ni kama nzi kila kwenye utumbo wapo
 
Back
Top Bottom