Rais Samia Suluhu Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, Ikulu Dar

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,032
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.
D104FCF9-06EE-4F72-8DBC-E76C1AA314FB.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.View attachment 2625467
Ma shaa Allah

Walete mama walete.
 
Back
Top Bottom