Wakati ule Shehe Issa Ponda anapambana ili Waislam wawe na Taasisi huru ya kutetea maslahi yao, Kamishna Kova ndiye aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam.
Kwa Maelezo ya Shehe Ponda, Kova ndiye RPC...
KIHONGOSI:CCM TUNAAMINI KATIKA MARIDHIANO,TUNATOA RAI KWA MAKUNDI YOTE KUSHIRIKI
Katibu wa Idikadi,Uenezi,Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kenan Kihongosi amesema Chama hicho...
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika...
Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika...
ONGEZEKO LA BAJETI YA WIZARA YA MAJI
Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya maji kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Maji kutoka Shilingi bilioni 898.28 mwaka 2025/2026 hadi...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026.
https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q
UTANGULIZI
Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yaomba jumla ya Tsh Trilioni 2,398,290,822,000 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Fungu 46 : Maombi ya Fedha 2026/2027...
Akizungumza Mei 7, 2026 Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alisema Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe ili kuhakikisha elimu...
https://m.youtube.com/watch?v=sYN-FCrYapU
Watoa waraka mzito kulaani matamshi ya hivi karibuni kuhusu kuwashughulikia raia wa Afrika ya Mashariki watakaotumia uhuru wao kupinga tawala
Hii...
NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja.
Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei...
Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
Kosa kuu la Yule aliyetumbuliwa ni kuropoka kwamba Nchi ina Akiba ya Mafuta kwa miezi 3
Hakusoma alama za Matapeli Wanamtandao
Sasa Leo imethibitika!
Hakuna nchi nyingine zaidi ya Koloni la...
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto.
Ndugu Samia...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukisikia Kiongozi Mwenye kufanya maamuzi Magumu na makini basi hakuna wa kumfikia Rais Samia katika Bara la Afrika. Ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu Mkubwa sana...
Shura ya Maimamu yajaa na sababu nzito za kuwa Tume ya Jaji Chande imejengwa nje ya misingi.
Na Shura ya Maimamu imetoa waraka mzito wa kurasa 12 wenye mapendekezo manne. La kwanza ni rais aitoe...
Wakuu,
Rais alishatuchamba tume ni yake, na ripoti ni yake, na sisi wala hatuna hiyana tumemwachia ripoti yake, maana haituhusu wananchi, ameshakabidhiwa, sasa Chande anakuja kujieleza kwetu ili...
Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo.
Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata...
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi...
Wakuu,
Jana, Rais Samia amefanya mabadiliko na teuzi mbalimbali, na moja ya teuzi zilizovuta hisia za wadau wengi ni ile ya Dkt. Evaline Munisi kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.