Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical...
Ndugu zangu watanzania,
Katibu mkuu wa CCM mh Daniel Chongolo ameitetemesha na Kuiteka Iringa kwa maagizo yake Mazito ya kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya wana iringa yaliyo...
Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa.
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na...
Habari jf,
Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .
Bil 47 za posho...
JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI
"Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na...
Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama...
Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika...
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA BIASHARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametembelea Kiwanda cha kutengeneza Mavazi cha...
Nani alitwambia wabunge waliopata madaraka kwa njia za kimabavu ya kuwa sasa hivi wakitaka kufanya mikutano wafanyie kwenye stendi za magari?
Mara ya kwanza nilimuona Kimei aliitisha mkutano...
Akihutubia Umati wa wananchi huko Tabora , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anesema kwamba viongozi wanaoongoza Tanzania kwa sasa hawawatetei wananchi kwa vile hawakupigiwa kura...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi...
Taarifa iliyosomwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema mbele ya maelfu ya wananchi huko Tabora , ambayo imetoka Jeshi la Polisi , imeeleza kwamba Chadema hairuhusiwi kufanya mikutano ya hadhara kwenye...
Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani
Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara...
MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya...
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN JUU YA MWENENDO, KIBURI, DHARAU NA MAJIVUNO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DR MWIGULU LAMECK NCHEMBA
Na Byemelwa...
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu...
Jambo Jambo?
Nauliza tu swali.
Hivi kuna Rais alitumia Afisa Usalama hawa TISS kwa kiwango kikubwa hivi?
Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...