Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
944

JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI

"Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Wananchi wa Jimbo la Hai tuna kazi ya kumuombea na kumlinda Rais Samia kwa kazi anayoifanya. Tunatambua kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa letu. Kama ambavyo amesema Mheshimiwa Rais Kazi iendelee" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Miradi mikubwa yote ya Kitaifa inaendelea; Bwawa la Mwalimu Nyerere, Barabara kubwa za kuunganisha Mikoa, Tanzania na Nchi jirani zinajengwa, Madaraja makubwa yanajengwa. Kila kilichoanzishwa na mtangulizi wake amekimaliza na vingine anavimalizia" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tarehe 20 Mei, 2023 mmeona tumekwenda kuzindua Ikulu, Ofisi Kuu ya Mheshimiwa Rais ndani ya Makao Makuu Jijini Dodoma. Mambo anayofanya Rais ni makubwa sana yanayokidhi matarajio ya watanzania" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Wananchi wa Jimbo la Hai ni mashahidi, mnafahamu tulikotokea, mnafahamu siasa zetu pale Hai zilikuwaje Uchumi wa Wilaya ya Hai ulikuwa mzuri, Maendeleo ya kijamii na kitaaluma. Watu wetu walienda Shule, tukawahi kujenga Shule mapema lakini baadaye tukaingia kwenye siasa za hovyo" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Siasa za hovyo zilitudanganya, Makamanda acheni Serikali itafanya kwahiyo hatukufanya matengenezo ya Shule zetu, hatukusimamia miundombinu yetu ikawa tunakimbizana na Serikali. Matokeo yake Barabara zikawa chakavu na ushirika ukafa kabisa" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tarehe 28 Wananchi wa Jimbo la Hai wakatafakari, wakatambua makosa waliyoyafanya wakachagua CCM, wakachagua Madiwani, Wenyeviti, Mbunge na Rais kwa kura nyingi sana za kutosha. Leo tunaona fahari ya kuchagua Chama Cha Mapinduzi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara zetu zilikuwa hazipitiki, leo Barabara saba zinajengwa kwa kiwango cha lami ndani ya Jimbo la Hai. Barabara kutoka Makoa Mferejini KM 7 inajengwa na mkandarasi yupo eneo la kazi na KM 7 zingine zinakuja ili zitimie KM 15 kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara ya Bomang'ombe Kikafu mkandarasi ameshamwaga lami. Tunasubiri Mwenge ukija ukaifungue. Barabara ya Nyerere Road mkandarasi ameshamwaga lami. Barabara ya Stendi Kingereka mkandarasi anamwaga lami. Barabara ya Dorcas awamu ya pili, Barabara ya TTCL kwenda Kanisa la RC Church ⛪ mkandarasi anaendelea na kazi kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Leo wananchi wa Hai wanafurahia kuona Barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami ili Barabara ziwarahisishie maisha wananchi, ziweze kuokoa roho za wananchi wa Hai waliokuwa wanapoteza maisha kwasababu ya uchakavu wa Barabara, leo Barabara zinapitika" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara za kuunganisha Vijiji na Vijiji, Kata na Kata zinatengenezwa kwa kiwango cha changarawe. Barabara kutoka kwa Sadala kwenda Uswaa kulikuwa na shida kwenye bonde la Uroki. Leo mkandarasi yupo anapiga Baruti anafungua Barabara" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Changamoto ambayo wananchi wanapaswa kuivumilia; Mvua zimenyesha, kumesababisha wakandarasi kusimama kazi pia mkandarasi mmoja amepewa Barabara nyingi ambayo inamfanya afanye kidogo kwa kila Barabara. Tumeshaongea na Serikali wapo wanalifanyia utatuzi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tumeshaahidiwa Barabara kutoka kwa Sadala, Kwalendemila KM 15, hii ni Barabara ya TANROAD ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami. Barabara ya Bomang'ombe ChekiMaji inapita Kata ya Lundugai kwenda Kivutio cha Chemka kwenda TPC tayari tumepata KM 7 kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Pesa za matengenezo tulikuwa tunapata Bilioni moja ila leo tunapata Bilioni 5.02. Nimeiomba Serikali Barabara ya Mijengweni kwenda Chidinjolo KM 15 wamekubali nayo itajengwa kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Hospitali ya Wilaya italetewa X-Ray Mashine, tuliletewa Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati tunajenga Jengo la Mama na Mtoto, Jengo la Pharmacy, Jengo la Maabara. Jengo la ICU, Private Unit imejengwa na wakandarasi wapo wanafanya kazi na dawa tunaendelea kuzipata" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Vituo vya Afya Vipya; Kituo cha Afya Longoi na X-RAY Mashine imeshafungwa. Kata ya Lundugai pale Chemchemi kuna kituo cha Afya. Mkwansira ujenzi umekamilika. Masamakati million 500 zipo njiani na tumeanza msingi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Kisiki imebadirika na huduma zinaendelea. Narumo imekamilika, Kimashuku ujenzi unaendelea, ChekiMaji Zahanati tumepeleka Milioni 50 na KIA kazi inaendelea. Maeneo machache yaliyobaki yanayohitaji kituo cha Afya ni Kata ya Narumo, Kata ya Muungano, Kata ya KIA, na Kata ya Mnadani, Kata ya Machane Mashariki" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Awali Shule ya Machame Girls na Lyamungo kidato cha tano na sita zilikuwa chakavu. Machame Girls tuliletewa Milioni 800+, Lyamungo tuliletewa Milioni 700+ ukarabati ukafanyika. Leo tumeongizewa fedha nyingine kwa ajili ya mabweni na Vyoo. Machame Girls zimeenda Milioni 372 na Lyamungo zimeingia Milioni 217" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Shule ya Lambee ipo Kata ya Machame Kaskazini ilikuwa chakavu lakini Tumeletewa Milioni 487. Kambialaa tumeletewa Milioni 348 hii ni Shule mpya inaenda kujengwa kwenye Kata ya Muungano. Narumo tumeletewa Milioni 144. na wakandarasi wanaendelea na kazi " - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Kawayakati Milioni 106, Kingereka Milioni 106, Kikafuchini Milioni 106, Mkalama Milioni 106, Msamaji Milioni 31, Mijengweni Milioni 46. Hizi zote ni fedha wakandarasi wapo wanaendelea na kazi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai.

"Tuliletewa Milioni 890 zikajenga madarasa, Hai Days zimeletwa Milioni 300 zimeenda Shule ya Bomang'ombe, Udulu. Ukijumlisha zote ni Bilioni 5.3 zimekuja kwa kipindi kifupi kwenye eneo la Elimu" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-28 at 14.33.42.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-28 at 14.33.42.jpeg
    40.1 KB · Views: 5

JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI

"Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Wananchi wa Jimbo la Hai tuna kazi ya kumuombea na kumlinda Rais Samia kwa kazi anayoifanya. Tunatambua kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa letu. Kama ambavyo amesema Mheshimiwa Rais Kazi iendelee" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Miradi mikubwa yote ya Kitaifa inaendelea; Bwawa la Mwalimu Nyerere, Barabara kubwa za kuunganisha Mikoa, Tanzania na Nchi jirani zinajengwa, Madaraja makubwa yanajengwa. Kila kilichoanzishwa na mtangulizi wake amekimaliza na vingine anavimalizia" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tarehe 20 Mei, 2023 mmeona tumekwenda kuzindua Ikulu, Ofisi Kuu ya Mheshimiwa Rais ndani ya Makao Makuu Jijini Dodoma. Mambo anayofanya Rais ni makubwa sana yanayokidhi matarajio ya watanzania" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Wananchi wa Jimbo la Hai ni mashahidi, mnafahamu tulikotokea, mnafahamu siasa zetu pale Hai zilikuwaje Uchumi wa Wilaya ya Hai ulikuwa mzuri, Maendeleo ya kijamii na kitaaluma. Watu wetu walienda Shule, tukawahi kujenga Shule mapema lakini baadaye tukaingia kwenye siasa za hovyo" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Siasa za hovyo zilitudanganya, Makamanda acheni Serikali itafanya kwahiyo hatukufanya matengenezo ya Shule zetu, hatukusimamia miundombinu yetu ikawa tunakimbizana na Serikali. Matokeo yake Barabara zikawa chakavu na ushirika ukafa kabisa" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tarehe 28 Wananchi wa Jimbo la Hai wakatafakari, wakatambua makosa waliyoyafanya wakachagua CCM, wakachagua Madiwani, Wenyeviti, Mbunge na Rais kwa kura nyingi sana za kutosha. Leo tunaona fahari ya kuchagua Chama Cha Mapinduzi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara zetu zilikuwa hazipitiki, leo Barabara saba zinajengwa kwa kiwango cha lami ndani ya Jimbo la Hai. Barabara kutoka Makoa Mferejini KM 7 inajengwa na mkandarasi yupo eneo la kazi na KM 7 zingine zinakuja ili zitimie KM 15 kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara ya Bomang'ombe Kikafu mkandarasi ameshamwaga lami. Tunasubiri Mwenge ukija ukaifungue. Barabara ya Nyerere Road mkandarasi ameshamwaga lami. Barabara ya Stendi Kingereka mkandarasi anamwaga lami. Barabara ya Dorcas awamu ya pili, Barabara ya TTCL kwenda Kanisa la RC Church mkandarasi anaendelea na kazi kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Leo wananchi wa Hai wanafurahia kuona Barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami ili Barabara ziwarahisishie maisha wananchi, ziweze kuokoa roho za wananchi wa Hai waliokuwa wanapoteza maisha kwasababu ya uchakavu wa Barabara, leo Barabara zinapitika" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Barabara za kuunganisha Vijiji na Vijiji, Kata na Kata zinatengenezwa kwa kiwango cha changarawe. Barabara kutoka kwa Sadala kwenda Uswaa kulikuwa na shida kwenye bonde la Uroki. Leo mkandarasi yupo anapiga Baruti anafungua Barabara" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Changamoto ambayo wananchi wanapaswa kuivumilia; Mvua zimenyesha, kumesababisha wakandarasi kusimama kazi pia mkandarasi mmoja amepewa Barabara nyingi ambayo inamfanya afanye kidogo kwa kila Barabara. Tumeshaongea na Serikali wapo wanalifanyia utatuzi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Tumeshaahidiwa Barabara kutoka kwa Sadala, Kwalendemila KM 15, hii ni Barabara ya TANROAD ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami. Barabara ya Bomang'ombe ChekiMaji inapita Kata ya Lundugai kwenda Kivutio cha Chemka kwenda TPC tayari tumepata KM 7 kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Pesa za matengenezo tulikuwa tunapata Bilioni moja ila leo tunapata Bilioni 5.02. Nimeiomba Serikali Barabara ya Mijengweni kwenda Chidinjolo KM 15 wamekubali nayo itajengwa kwa kiwango cha lami" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Hospitali ya Wilaya italetewa X-Ray Mashine, tuliletewa Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati tunajenga Jengo la Mama na Mtoto, Jengo la Pharmacy, Jengo la Maabara. Jengo la ICU, Private Unit imejengwa na wakandarasi wapo wanafanya kazi na dawa tunaendelea kuzipata" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Vituo vya Afya Vipya; Kituo cha Afya Longoi na X-RAY Mashine imeshafungwa. Kata ya Lundugai pale Chemchemi kuna kituo cha Afya. Mkwansira ujenzi umekamilika. Masamakati million 500 zipo njiani na tumeanza msingi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Kisiki imebadirika na huduma zinaendelea. Narumo imekamilika, Kimashuku ujenzi unaendelea, ChekiMaji Zahanati tumepeleka Milioni 50 na KIA kazi inaendelea. Maeneo machache yaliyobaki yanayohitaji kituo cha Afya ni Kata ya Narumo, Kata ya Muungano, Kata ya KIA, na Kata ya Mnadani, Kata ya Machane Mashariki" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Awali Shule ya Machame Girls na Lyamungo kidato cha tano na sita zilikuwa chakavu. Machame Girls tuliletewa Milioni 800+, Lyamungo tuliletewa Milioni 700+ ukarabati ukafanyika. Leo tumeongizewa fedha nyingine kwa ajili ya mabweni na Vyoo. Machame Girls zimeenda Milioni 372 na Lyamungo zimeingia Milioni 217" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Shule ya Lambee ipo Kata ya Machame Kaskazini ilikuwa chakavu lakini Tumeletewa Milioni 487. Kambialaa tumeletewa Milioni 348 hii ni Shule mpya inaenda kujengwa kwenye Kata ya Muungano. Narumo tumeletewa Milioni 144. na wakandarasi wanaendelea na kazi " - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai

"Kawayakati Milioni 106, Kingereka Milioni 106, Kikafuchini Milioni 106, Mkalama Milioni 106, Msamaji Milioni 31, Mijengweni Milioni 46. Hizi zote ni fedha wakandarasi wapo wanaendelea na kazi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai.

"Tuliletewa Milioni 890 zikajenga madarasa, Hai Days zimeletwa Milioni 300 zimeenda Shule ya Bomang'ombe, Udulu. Ukijumlisha zote ni Bilioni 5.3 zimekuja kwa kipindi kifupi kwenye eneo la Elimu" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai
ukapoteza muda kabisa kuandika UHARO huu
 
Saashisha na mwenzako Priscus wa Moshi mjn tumieni mafao yenu kwa uangalifu sana, uchaguzi mkuu ujao hamrudi bungeni!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom