Wafanyabiashara Waonesha Kuwa Na Imani kubwa Sana na Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,231
9,668
Ndugu zangu watanzania,

Wafanyabiashara Wameonyesha kuwa na Imani kubwa Sana na uongozi na serikali ya Rais Samia licha ya changamoto ndogo ndogo katika biashara zao,Ambazo serikali kupitia Waziri mkuu wetu kwa maelekezo ya mh Rais wetu Jasiri muongoza njia,mama wa shoka, mzalendo wa kweli ,mama shupavu,shujaa wa Uchumi ,nguli wa Diplomasia,kiongozi wa watu,kipenzi Cha watanzania, mtetezi wa Afrika na waafrika,sauti ya wanyonge,Nguvu ya watanzania,mfariji wa Taifa mama Samia suluhu Hassani ametoa maelekezo madhubuti katika kuwasikiliza wafanyabiashara na kumaliza changamoto na kero zao.

Watu wote na watanzania kwa ujumla wetu tumeshuhudia namna wafanyabiashara wanavyomuamini Rais wetu,wanavyompenda na kumheshimu.wasioona wamesikia kwa masikio yao na hata viziwi wameona kwa macho yao namna Rais wetu anavyoaminika na jumuiya ya wafanyabiashara,Hii yote imetokana na wafanyabiashara kutambua dhamira ya dhati aliyo nayo mh Rais wetu katika kuwainua watanzania kiuchumi,katika kugusa maisha ya watanzania wa makundi yote,katika kuwafuta machozi wanyonge,katika kuwasikiliza watu wote.

Wafanyabiashara wanatambua na kufahamu usikivu mkubwa alio nao Rais wetu,wanafahamu Rais wetu ni muumini wa haki ,Ni mpenda Haki ,mhubiri haki na mtenda haki. Wanafahamu wazi kuwa Rais wetu hapendi dhuluma Wala mtu kudhulumiwa ,hapendi manyanyaso wala kuona mtu akinyanyasika,hapendi mtu abubujikwe machozi kwa kuonewa au kudhulumiwa na serikali Yake au Mtumishi anayelipwa mshahara kutokana na Kodi za watanzania Wavuja jasho wanaoshinda kutwa nzima juani.

Watanzania na wafanyabiashara wanatambua kuwa Rais wao kimatendo na kimaneno hapendi Kodi ya dhuluma,Hapendi Kodi ya machozi ,unyang'anyi au Mateso kwa mfanyabiashara.wanafahamu kuwa Rais Samia Anataka Kodi ya haki na siyo laana, ya halali na siyo maaonezi.

Ndio maana walifarijika Sana na kuwa watulivu na waungwana waliposikia kuwa Rais na mama Yao amemwagiza mh waziri mkuu wetu akawasikilize kero zao zoote bila kuacha hata moja,ndio maana walihamasishana wao kwa wao juu ya kutii maagizo ya mama Yao ya kukaa katika meza ya mazungumzo kwa kuwa wanajuwa dhamira njema ya mama Yao na Rais wao mama Samia suluhu Hassani katika kutatua kero zao za kibiashara Tangia alipoingia madarakani.

Wanatambua kuwa Ni mama na Rais Samia aliyewaboreshea mazingira ya kufanyia biashara hapa nchini,wanatambua kuwa Ni mama Yao aliyetoa kauli ya kusamehewa kwa madeni ya Kodi za huko nyuma,wanafahamu ya kuwa Ni mama Yao mama Samia aliyepiga marufuku kwa watumishi wowote kuwanyanyasa wafanyabiashara ,wanatambua Ni mama Yao Rais Samia aliyewafanya waweke fedha benki bila hofu Wala wasiwasi.

wanatambua ni mama Yao Rais Samia aliyechochea mzunguko wa fedha mitaani na kuchochea Hali nzuri ya biashara mitaani kutokana na kuweka fedha ya kutosha katika miradi mikubwa na ya kimkakati,kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma,kuboresha secta ya kilimo iliyoinua na kukuza kipato Cha mtu mmoja mmoja pamoja na kujenga uchumi jumuishi unaogusa maisha ya watu lakini unaokuwa katika mifuko ya Watanzania.

Ndio maana wanapoona Mtumishi wa mamlaka yoyote Ile Anataka kuwaonea wafanyabiashara wanakuwa wakali maana wanajuwa siyo maagizo ya mama Yao na Wala siyo dhamira ya mama Yao Rais Samia kuwaonea,kwa kuwa wanajuwa maagizo na dhamira ya Rais wao na mama Yao Ni kutendewa haki kwa kila mtanzania, ni kukomesha uonevu, ni kuelimishana na siyo kukomoana ,Ni kupeana miongozo,Ni kushirikiana kwa kila hatua , Ni kupeana taarifa, Ni kumaliza mambo kwa mazungumzo na kulifanya Taifa liwe Tulivu na kimbilio la wageni wote wanaotaka kufanya biashara, Ni kuhakikisha serikali inapata na kukusanya mapato ya halali,Ni kufanya kila mfanyabiashara ajione fahari na wajibu kulipa Kodi kwa maendeleo ya Taifa lake.

Wanafahamu dhamira ya mama Yao Ni kutaka kuona biashara zinafunguliwa kila Kona ya nchi yetu na siyo kufungwa ,Ni kutaka kuona watu wanafanya biashara kwa Uhuru na amani,Ni kutaka kuona watanzania wanawekeza zaidi mitaji na mahela Yao nchini na kulipa Kodi nchini badala ya kupeleka mahela nje ya nchi na hivyo kutoa ajira kwa vijana wa mataifa mengine.

Ndio maana kila mtu alisikia shauku ya wafanyabiashara kutaka kumuona mama Yao ,ndio maana wakipata amani waliposikia Waziri mkuu wetu anakwenda kutekeleza maagizo ya mama Yao na Rais wao. Kwa hakika Rais Samia Ni Kama maji usipoyanywa utayaoga Tuuuuuuuuuuu,Anacho kibali mbele ya watanzania, Mwenyezi MUNGU yupo pamoja na Rais wetu katika kuwavusha watanzania.Hofu ya Mwenyezi MUNGU iliyo jaa katika kifua chake imeleta matumaini na Imani kubwa Sana kwa watanzania.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndio maana kila mtu alisikia shauku ya wafanyabiashara kutaka kumuona mama Yao ,ndio maana wakipata amani waliposikia Waziri mkuu wetu anakwenda kutekeleza maagizo ya mama Yao na Rais wao. Kwa hakika Rais Samia Ni Kama maji usipoyanywa utayaoga Tuuuuuuuuuuu,Anacho kibali mboele ya watanzania, Mwenyezi MUNGU yupo pamoja na Rais wetu katika kuwavusha watanzania.Hofu ya Mwenyezi MUNGU iliyo jaa katika kifua chake imeleta matumaini na Imani kubwa Sana kwa watanzania.

Utasugua sana bench wewe hadi matako yataota sigda lakini kamwe huteuli ng'o
 
Mama ni kiongozi wa kweli
Mtu na robo tatu

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
0742-676627.labda wafanyabiashara wa wa Tako lako

Labda wafanyabiashara wa Tako lako
 
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
IMG_20220914_180443_804.jpg
 
Wafanyabiashara siyo wajinga , wanaelewa dhamira njema aliyo nayo mh Rais katika kuwainua kibiashara, wanatambua mh Rais Anataka kuona wanasonga mbele kibiashara na siyo kirudi nyuma kibiashara,wanatambua serikali ya mama Samia IPO kwa ajili ya kuwasaidia na siyo kuwakomoa au kuwakandamiza na kuwaonea
 
Watanzania wanajitambua Sana ,ndio maana siyo watu wa kufuaata mikumbo na kukurupuka pasipo kufanya Tathimini ya jambo,Ndio maana wanasiasa waliofirisika kisera na kiajenda walishashindwa kulibomoa au kuligawa Taifa letu kwa uroho wao wa madaraka wa kutumia lugha za kutaka kuleta machafuko hapa nchini
 
Wewe chawa hujajitambua ndio maana unatumika kwenye hizi propaganda za kijinga!
 
Huyu chawa anahangaika sana kumsifia Samia, kiasi kwamba badala ya kumuongezea umaarufu anamuharibia!
Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Tanzania na Barani Afrika kwa Sasa,Ni kiongozi anayefuatiliwa Sana hotuba zake na kauli zake kutokana na kuwa na muelekeo na dira yenye kuleta mapinduzi ya kiuchumi,maono ya Rais Samia Ni makubwa Sana Hadi Inafikia hatua watu wanaona Ni Kama Anaishi mbele ya wakati kutokana na kuona mambo kwa namna ambayo mtu wa kawaida hawezi.

Hivyo Rais Samia hahitaji kusifiwa ili kumuongezea umaarufu maana Tayari Ni maarufu na kiongozi anayekubalika na mwenye ushawishi Sana hapa nchini
 
Watanzania wanajitambua Sana ,ndio maana siyo watu wa kufuaata mikumbo na kukurupuka pasipo kufanya Tathimini ya jambo,Ndio maana wanasiasa waliofirisika kisera na kiajenda walishashindwa kulibomoa au kuligawa Taifa letu kwa uroho wao wa madaraka wa kutumia lugha za kutaka kuleta machafuko hapa nchini
images.jpg
 
Uungwana ni kuonyesha ujinga wangu kwa hoja na siyo kutoa kauli za jumla jumla tu Kama mafungu ya nyanya
Yaani kuandika gazeti kama hilo halafu hakuna hoja ndani yake ni ujinga tosha, unataka nionyesha ujinga gani sasa? Hapo si unatafuta utaeuzi sijui au nini, ila ni ujinga tu.., unachosifia ni nonsense. If anyrhing imani ipo kwa waziri mkuu, maana hata sidhani kama Rais anaelewa nini kilifanyika kwenye mkutano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom