Baada ya kusikiliza kero za wafanyabiashara kariakoo nimeamini hii nchi kwa sasa ni chukua chako mapema

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
kwa malalamiko ya wafanyabiashara ambayo nimesikiliza kariakoo nimeamini hii nchi kuna ombwe la uongozi kwa sasa ni kauli moja tu chukua chako mapema, ndiyo maana nasema ukiwa na uongozi wa hovyo kila kitu kinaenda hovyo mfano tundu lisu anasema polisi nchini tanzania wanakatwa pesa zao wenyewe kwenye mishahara kwa ajiri ya kufa na kuzikana cha ajabu pesa wanayotunza wao wenyewe wameibiana wao wenyewe na ameenda mbali kwa kusema kama wanaibiana wao wenyewe je raia watakuwa na hali gani?
Mimi nachokiona kupitia taarifa ya CAG iliyowasilishwa kwa raisi mojakwamoja na kusomewa siku hiyo ilitakiwa atoe naamuzi ya kufuta mfuko huo kwani unanufaisha watu wachache raisi amekuwa akipewa taarifa za uongo kuhusu wizi huo na hachukui hatua zozote na hili ni kama hajui waliopora fedha hizo wanufaika wakubwa ni top management ya jeshi la polisi.kwanini anashindwa kufuta mfuko huo ambao uanzishwaji wake ulikuwa wa kibabe kutokana na taarifa zilizopo?

Kingine wafanyabiashara wanalia kilio kimekuwa kikubwa kuhusiana na kodi zisizoelezeka lakini yeye hana habari ametuma wawakilishi wake hajui haohao ndiyo mnyororo wa watu wanaotumiwa kufanya matendo hayo,

Kwanini anashindwa kuonana nao huku wao wanamhitaji yeye? kwanini anapuuza hajiulizi kwanini wanamhitaji yeye?

Mimi nawaambia tunapoelekea kuna tatizo kubwa huenda hata serikali ikashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao kwa visingizio mbalimbali narudia tena hili linakuja na hamtoamini kuhusiana na hili nalozungumza ! serikali badala ya kutatua changamoto za wananchi kila mtu anaangalia aporeje hela za umma.

Mradi wa maji kwenda Dodoma kwa sasa umepewa kisogo tangu jpm afikishe maji mkoa tabora na singida hadi sasa ni kimya!

Ukweli mchungu nasema ni kwamba msione miradi inatekelezwa kama SGR, Daraja la busisi , na bwawa la mwalimu nyerere ni kwasababu miradi hiyo inatolewa macho na umma ndiyo maana serikali inatekeleza miradi hiyo !
 
msikilizeni huyu mama mambo aliyofanyiwa na maafisa wa TRA
 
Mara CAG mara Lisu mara Kariakoo Sasa wewe unaongea nini hasa? Unasubilia nini kuchukua chako mapema?
 
Nitazingatia ushauri wako
 
Tulia wewee... Na bado tutapiga sana
IMG_20230505_132126.jpg
 
msikilizeni huyu mama mambo aliyofanyiwa na maafisa wa TRA View attachment 2627777
Ujue ulaghai ulivyo.

Huyu mama, hata kama kuna uonevu wa TRA, lakini yeye mwenyewe anaonyesha wazi nia ya kutumia udhaifu wa Samia kutenda uhujumu.

Hapa kwenye mkutano huu, yupo Waziri Mkuu, na yeye huyo hamtambui kabisa, anajua tu "Mama Samia", kwa sababu wanajua ni huyo ndiye wanamtaka awatimizie malengo yao.
 
Serikali hii kila mtu anakula kwa uwezo wake hamna lolote katika usimamizi, mungu tunusuru na hili janga linaloitwa serikali ya awamu ya sita isiyojuwa kusimamia fedha za umma kutimiza malengo yaliyokusudiwa
 
Kwani mkuu wewe Unataka Raisi wa aina gani?
Rais muadilifu,mpenda watu,mfuata katiba na sheria, msema kweli,aliye tayari kukosolewa,asiwe mbaguzi,asigawe watu kwa misingi ya dini,kabila wala ukanda. Huyu ndio Rais ninaye mtaka na nikiwapitia marais wote waliowahi kututawala sijaona kama yupo aliyekidhi vigezo vyote bali kila mmoja alikuwa na mapungufu yake katika hivyo vigezo lakini aliyepita hakupaswa kabisa kuwa Rais wetu kwa sababu vigezo vingi kama sio vyote amechemka.
 
Back
Top Bottom