Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023.
UVCCM HQ, DODOMA
Mei 19, 2023.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Ndg. Edna Lameck, kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa CCM chini ya Uongozi wa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, anapenda kuwakaribisha wananchi wote katika Uzinduzi wa Ikulu Mpya ya Chamwino mkoani Dodoma utakaofanyika Siku ya Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
Ikumbukwe ya kwamba ujenzi wa Ikulu ya Chamwino ilikuwa ni ndoto ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere ambayo iliwekwa matumaini na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuweka jiwe la msingi ujenzi huo Julai 2020 na sasa ndoto hiyo inakwenda kutimizwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 20 Mei, 2023 kwa kuhamia katika Ikulu ya Chamwino Dodoma ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia mia moja (100%).
Ni jambo la kujivunia na fahari kwa Watanzania kuona namna Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM unavyoendelea kutekelezwa kwa kasi kubwa.
TUKUTANE IKULU CHAMWINO DODOMA
#KaziIendelee
#AlipoMamaVijanaTupo
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana