Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada
Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba...
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo...
Hapo vip!
Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni...
Ni makala ndefu mno ila itworth kuisoma ili kujua mengi kuhusu Muungano wetu
KAMARA KUSUPA NA MTAMBO WA KASUMBA JUU YA ZANZIBAR
Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016...
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Chongolo hanaga Muda wa kuhangaika na nyomi yeye huwaendea Watu kule chini kabisa na kumaliza kero zao
Ni busara Chadema na ACT Wazalendo wakapumzika kwanza ili wapate...
Shughuli ya uapishwaji wa Viongozi wapya walioteuliwa na Rais John Pombe Magufuli mnamo tarehe 28.07.2018 inaendelea Ikulu, Dar es Salaam. Shughuli iko live TBC.
====
Alichoongea rais Magufuli...
Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida.
Leo hii mnakatiza wami.
Soon mtakatiza busisi.
Na ndio msingi...
"Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa
"Sera ya Afya...
Elimu bure na ujinga unaoendelea.
Ukweli mchungu
watoa maamuzi Walipaswa
kuwatambua watoto ambao wangestahili hiyo elimu bure. Sehem ya iyo fedha wawalipie chakula.
Kwa Sasa Hali ni mbaya...
Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE.
mfano ni ziara yake kule Iringa hakika...
Bunge letu la Tanzania leo limeingia kwenye historia nyingine ya kuwa kitu cha ajabu sana kwa kauli za Spika Dokta Tulia kuita rushwa kuwa ni kitu cha kawaida kufanyika.
Spika akijua kabisa siyo...
Japo Makao Makuu ya nchi yapo Dodoma Ila Watu wanashinda Dar Kwa
1. Semina elekezi,
2. Mikutano,
3. Misiba,
4. Harusi,
5. Ukaguzi wa miradi,
6. Mechi za kimataifa
7. Uapisho
**na per Diem...
Spika wabunge la Tanzania ana kibarua kigumu sana kunusuru na kuhalalisha bajeti ya wizara ya nishati baada ya kulazimika kutoa ufafanuzi leo kuwa ni wabunge 193 tu waliohudhuria majadiliano na...
SERIKALI YATOA MCHANGO MKUBWA WA TSH MILIONI 573 KWENYE UJENZI WA WANYERE SEKONDARI
Jimbo la Musoma Vijijini laendelea kutatua matatizo yanayowakabili wanafunzi wanaosoma kwenye Sekondari za Kata...
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka huko Njombe , kwamba pamoja na kuvunja msingi wenye bango la uzinduzi wa kisima cha Maji
Bado vijana wa Chadema wanaendelea kukamatwa kwa tuhuma za uongo za...
Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza...