RC Amos Makala umeanza vizuri Mwanza

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,461
1,445
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.

Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.

Kama kuna hoja zozote zifuate baadaye zisifanywe km pre condition. Mh Makala usisikilize hoja hizi, muhimu kabidhi kazi unconditionally kazi ianze, ndiyo maana kwenye bajeti hii mradi huu hauzungumziwi kabisa na Wizara Tunajichelewesha wenyewe.

Adam Malima alichemsha kusikiliza maoni ya mgawanyo hata kabla ya kukabidhi. pia fuatilia miradi mingine ili kulibadilisha jiji la Mwanza. weks msukumo kwenye barabara kuu za Kenyatta na Nyerere kuwa njia 4 utakuwa umesaidia sana. utumie vizuri ukada wako ulete maendeleo kwenye jiji hili
 
RC Makalla hajawahi kufanikisha jambo lolote na sitegemei hata kwenye hili kama ataweza.
Mimi ninaamini atafanikisha. kuna mambo amejifunza kwenye uongozi wake. Hili la uwanja wa ndege litampa legacy,vinginevyo litamuondoa haraka.
 
Huu uwanja mbona kama umewashinda; yaani Mkuu wa Mkoa ndio anahangaika nao? Yaani, Jiji kubwa la Pili Tanzania bado tunahangaika na kumaliza huu uwanja? Hivi uko chini ya Wizara gani? Yaani, toka ulivyoanza ujenzi ni kesi juu ya kesi... kha! Ufyatu uliopitiliza huu..
 
Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.
Kama waliwekeza kwa nini wasidai?
Sijui wewe ni mtu wa aina gani kwa kudai tu kwamba "ni za walipa kodi wa Tanzania...". Inaonekana huelewi unachozungumzia hapa.
 
Hili awaachie waliolianzisha wamalizie wao wenyewe, vinginevyo hata hao TAA litawashinda, kuna soko kuu, hilo jengo airport na stendi ya Nyegezi hii miradi ina jambo sio bure,
IMG-20230328-WA0006.jpg
 
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.

Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.

Kama kuna hoja zozote zifuate baadaye zisifanywe km pre condition. Mh Makala usisikilize hoja hizi, muhimu kabidhi kazi unconditionally kazi ianze, ndiyo maana kwenye bajeti hii mradi huu hauzungumziwi kabisa na Wizara Tunajichelewesha wenyewe.

Adam Malima alichemsha kusikiliza maoni ya mgawanyo hata kabla ya kukabidhi. pia fuatilia miradi mingine ili kulibadilisha jiji la Mwanza. weks msukumo kwenye barabara kuu za Kenyatta na Nyerere kuwa njia 4 utakuwa umesaidia sana. utumie vizuri ukada wako ulete maendeleo kwenye jiji hili
Kwa Muundo wa katiba tulio nayo wakuu wa Mikoa hawana cha wanacho fanya, Hao zaidi ya kushauri, kuahiza hawana wanacho fanya, tuache uzuz,
 
Majukumu ya kimsingi ya TAA ni kusimamia viwanja vya Ndege, Maamuzi ya pupa yalifanyika kuwapa halmashauri za manispaa na jiji Mwanza kusimamia ujenzi,jukumu la ujenzi wa viwanja vya ndege tena viwango vya kimataifa ni serikali kuu kikatiba.Tangu lini halmashauri zikajenga viwanja vya ndege kwa viwango vya ICAO. Tuache mzaha. habari ya pesa ziliwekezwa, siku hizi tuna single account pesa zote ni za Hazina serikali itaelekeza baadaye nini kifanyike wakati mradi ukiwa umeisha.
 
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.

Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile zilichangia kwenye hatua za mwanzo za ujenzi hazina mashiko,ni mbinu nyingine ya kuchelewesha mradi huu,pesa zote zilizotumika 1.4,1.1 na 9 bn ni za walipa kodi wa Tanzania, na jengo ni mali ya Watanzania.

Kama kuna hoja zozote zifuate baadaye zisifanywe km pre condition. Mh Makala usisikilize hoja hizi, muhimu kabidhi kazi unconditionally kazi ianze, ndiyo maana kwenye bajeti hii mradi huu hauzungumziwi kabisa na Wizara Tunajichelewesha wenyewe.

Adam Malima alichemsha kusikiliza maoni ya mgawanyo hata kabla ya kukabidhi. pia fuatilia miradi mingine ili kulibadilisha jiji la Mwanza. weks msukumo kwenye barabara kuu za Kenyatta na Nyerere kuwa njia 4 utakuwa umesaidia sana. utumie vizuri ukada wako ulete maendeleo kwenye jiji hili
Kapigwa demotion Dar to Mwanza
 
bilioni 30 kujenga uwanja wa kimataifa ni hela ndogo sana jengo la abiria Mwanza linafanyiwa mzaha. Mimi ningeelewa kama ingekuwa angalau bn100 kama walivyoshauri TAA mapema kama kweli watu wako serious,vinginevyo ni failure. yaani wafanye upanuzi wa jengo liliharibiwa,ujenzi wa maeneo ya biashara, njia za kuegesha ndege, magari na uboreshaji jengo la mizigo, no!. Hapa Wizara ikikabidhiwa mradi ifanye review(ipitie) yenyewe upya gharama na ramani kwa uhalisia na utaalam wao.
 
kwa mama hata hawezi kutolewa atabadilishwa sehemu nyingine angekuwa jamaa ya makufuli angekuwa nje
 
Mimi ninaamini atafanikisha. kuna mambo amejifunza kwenye uongozi wake. Hili la uwanja wa ndege litampa legacy,vinginevyo litamuondoa haraka.
Uwanja wa ndege wa Mwanza ulizidiwa kete na ule wa wilaya pendwa
 
Back
Top Bottom