Zanzibar ni nchi na ni Sehemu ya Tanzania
Zanzibar siyo Mkoa wala Wilaya ni " Sehemu"
Unapoitaja Tanzania maana yake umeitaja na Zanzibar
Lakini unapoitaja Zanzibar hujaitaja Tanzania bali...
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa...
Unakuta Zitto Kabwe anatua kwa Chopa anapokelewa kwa Salute za polisi halafu anaenda kuwafundisha Wananchi Mafukara namna ya kudai Katiba mpya
Hapo Zitto analipwa Posho yeye na Walinzi wake na...
Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa.
Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika...
Kuna Clip ina trend ikimuonyesha Mkurugunzi wa Mawasiliano Ikulu , Zanzibar, ndugu Charles Hillary akitoa kauli ya onyo kwa wale aliowaita wavamizi wa eneo la hekari 6,000 mali ya SMZ huko...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya...
Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima...
Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa kodi ya majengo kwa njia ya ununuzi wa umeme ambayo itaanza kutumika Agosti 20, 2021 inatakiwa kulipwa na wamiliki wa majengo na sio wapangaji kwenye...
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa.
Ni katika...
Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu.
Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale...
Wadau hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu.
Kwanza niunge mkono juhudi za serikali na wadau mbalimbali wa mazingira ktk nishati safi ya kupikia
Wakuu najiuliza...
Miezi 2 iliyopita Nilikuwa Mkoani Rukwa kikazi, baadaye nikapita Mbeya na kisha nimerejea Mafinga. Kote nilikopita kipindi hicho na Sasa kuna Mafunzo yanaendelea pale Iringa mjini nimekuwa...
Dalili za umasikini na elimu duni kwenye nchi zinazo endelea (ldcs) huonekana pale katika kupoteza mda kwenye vitu visio leta tija kwenye uchumi au maisha ya kila siku, vikundi mijadala vipindi...
Wakuu nimekutana na hii clip,
Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki.
Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako...
Makampuni ya Kimataifa ya Gas yanatarajia kusaini makubaliano ya mwisho na Serikali yaani Final Host Government Agreement ambapo itafungua rasmi kuanza Ujenzi wa Mradi wa gas wa Lindi wenye...
Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri...