Waziri Mabula toa ufafanuzi wa Ekari 6000 za Zanzibar zilizopo Bagamoyo

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,988
Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu.

Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale.

Kinachotuumiza zaidi ni kuona sisi watanganyika kwenye ardhi yetu tukipigwa beat namna hiyo ili hali mtanganyika kwa Zanzibar haruhusiwi kumiliki ardhi.

Tafadhali sana kwa niaba ya Watanganyika nakuomba utoe ufafanuzi ilikuwaje Wenzetu wakatwaa eneo hilo.

Je, ni Bagamoyo ipi iliyotajwa hapo na msemaji wa SMZ.

Nawasilisha
 
Duh! Mi mwenyewe hoi huu muungano wa makubaliano ya watu wawili nna mashaka nao
 
Wakina Mohamed Dewji wanamiliki maelfu ya hekari pia hata kampuni za miwa! Sasa serikali ya Zanzibar kumiliki hizo heka ndio imekuwa nongwa?
 
Back
Top Bottom