Hela za tozo zinafanya kazi gani?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Dec 13, 2013
142
165
Habari wanaJF

Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua maana naona kimya tu?
 
Mwanzo walikuwa wanatuambia makusanyo ya kila mwezi, wakatuambia na matumizi yake potelea mbali hata kama walitudanganya, ajabu siku hizi naona kimya hakuna taarifa yoyote kuhusu hili suala.

Wanachotufanyia kwa sasa ni wizi, wanatuibia pesa zetu wanazitumia vile wanavyotaka wao, hapa naona kabisa kuna haja ya kwenda mahakamani kuwadai pesa zetu hawa wezi.
 
Hayo mafisi unadhani yatazifanyia nini, zaidi tu ya kwenda kunywea pombe na kuhongea watoto wa udom?
 
Hayo mafisi unadhani yatazifanyia nini, zaidi tu ya kwenda kunywea pombe na kuhongea watoto wa udom?
Muhimu tuambiwe tu matumizi hata kama yanaenda kuhongea watoto wa UDOM, kuliko kunyamaza kimya wanatuona mazuzu sana.
 
Back
Top Bottom