DC mstaafu Kasesela amesema mara baada ya kutoa ile kauli ambayo haikueleweka vizuri kwa yule Dereva wa Bajaj, Mwalimu wake wa siasa Dr Kikwete alimpigia simu na kumkemea.
Kasesela anasema...
DC mstaafu mh Richard Kasesela amesema mke wake ana karama ya kuota ndoto na utambuzi.
Ilikuwa siku ya Alhamis mke wangu alinipigia simu na kuniambia ameota ndoto joka kubwa linaninyemelea lakini...
Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako...
Mzee Shirima amemshukuru hayati Magufuli kwa kuwaletea treni ya abiria na kuimarisha mtandao wa barabara za lami katika mkoa mzima wa Kilimanjaro.
"....natamani hayati Magufuli angetujengea na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM...
Mwaka 2023 ukawe mwaka wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, Ukawe mwaka wa utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini.
Heri ya mwaka mpya Watanzania...
Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya.
Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24
Nadhani hawa viongozi wawe...
URAIAPACHA NI SERA YA CHADEMA. Inasemekana Uongozi wa juu wa CHADEMA ni raia wa Marekani, akiwamo Mwenyekiti na Makamu, moja kwa moja au kupitia kwa mke na watoto. Uraia pacha ni nini?
Ili uwe...
Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM...
Waziri wa Fedha Dr Sada Mkuya amesema Mamlaka ya Mapato Zanzibar inaanzishwa kuchukua Majukumu ya Bodi ya Mapato iliyopo sasa
Kinachosubiriwa ni mswada kusainiwa Kuwa Sheria ili ZRA ianze rasmi...
Wanabodi,
Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa Tanzania kwa madhumuni ya kuruhusu vyama mbadala kushiriki katika kila chaguzi na kuenzi suala zima la demokrasia kwa kuwa wezesha wananchi kuchagua...
Mwalimu Julius Nyerere alisema kuwa mpinzani wa kweli ni lazima atokee ndani ya CCM, Je maono ya Mwalimu yalimlenga Hayati Rais John Pombe Magufuli, kwa namna anavyochukuliwa sasa hivi ndani ya...
Alichosema binafsi sikukisikia redioni, bali kwa kukisoma twitter hasa page za wanaharakati, na media aina ya Zama mpya. Kama waliokubaliana na aliyosema walikuwa wapinzani wa twitter...
Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021
Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022...
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali...
Rais mstaafu mzee Kikwete leo amesherehekea Sherehe za kufungua Mwaka 2022 na kuukaribisha 2023 akiwa na Wananchi wenzake wa Msoga.
Kikwete amesema ni kawaida yao tangu akiwa Rais kufanya Sherehe...
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya...