Hai: Freeman Mbowe aaga mwaka 2022 na wanakijiji wenzake, Askofu Dkt. Shoo wa KKKT ahudhuria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,804
218,449
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako Freeman Mbowe na Wanakijiji wenzake wamekutana na kufanya Tathmini ya yaliyotokea kwa mwaka huu , na kupanga mikakati ya kukivusha kijiji chao kwenye 2023 .

Miongoni mwa Wageni waliohudhuria hafla hiyo na kutoa neno ni Baba Askofu Dr Shoo , ambaye ni Mkuu wa Kanisa la KKKT Nchini Tanzania .

Nimevutiwa na hafla hii ambayo inaonyesha upendo wa kweli miongoni mwa wanakijiji hao .

FB_IMG_1672418560676.jpg
FB_IMG_1672418569234.jpg
FB_IMG_1672418596117.jpg
FB_IMG_1672418576409.jpg
FB_IMG_1672418606857.jpg
 
Kwa hii tabia yenu ya udini,ukanda na ukabila chadema msahau kuchukua nchi kabisa naona askofu wenu shoo ana promote agenda yenu.

Ndiyo maana nasema ccm itaongoza nchi milele iwapo kama chadema mtaacha hii tabia yenu ya udini.

Sina mengi ila chadema mjitathimini sana huu udini wenu mnawagawa watu kwenye makundi acheni kabisa.
FB_IMG_1672419824431.jpg

FB_IMG_1672419811603.jpg

021a95b279964a64a945e6b5fba9794c.jpg
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako Freeman Mbowe na Wanakijiji wenzake wamekutana na kufanya Tathmini ya yaliyotokea kwa mwaka huu , na kupanga mikakati ya kukivusha kijiji chao kwenye 2023 .

Miongoni mwa Wageni waliohudhuria hafla hiyo na kutoa neno ni Baba Askofu Dr Shoo , ambaye ni Mkuu wa Kanisa la KKKT Nchini Tanzania .

Nimevutiwa na hafla hii ambayo inaonyesha upendo wa kweli miongoni mwa wanakijiji hao .

View attachment 2463637View attachment 2463639View attachment 2463640View attachment 2463641View attachment 2463642
Jamaa anakula maisha Vijana wake kina Heche wanaangaika kupiga kilele mpk jasho. Jamaa kashaelewa kazi za Mama, kaona akae kimya mama ajenge Nchi. Vijana kina Heche walichezea pension ya ubunge Sasa wanalia Lia kwa kisingizio Cha mikutano ya hadhara kumbe hawawezi kulima
 
Vp kuhusu ile ishu kama wasipofanya mkutano mkuu.?
Katibu mkuu ametoa tamko jijini Mwanza leo kuwa 2023 mikutano itafanyika kwa mujibu wa katiba ya Sasa. Akasema KK itakutana kutoa ratiba ya mikutanao ya hadhara nchi nzima.

Pia amesisitiza kuwa chama hakitaendelea kuheshimu katazo haramu la serikali.
IMG_20221230_201444_542.jpg

Kwa tamko hili kiroho changu kwatu!!!!!!
 
Back
Top Bottom