Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hayo tu wandugu. Kama TISS wanakinga kwa nini sisi polisi tusiwe nayo?. Wananchi nao wapewe kinga wakiua mtu yeyote atakayeuawa maana TISS akiua hatakuwa amejitambulisha kwa wananchi hivyo...
1 Reactions
5 Replies
623 Views
Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa naona mama akimbeba mdogo wangu mgongoni, yule dogo alikuwa Kama amechoka/au hataki kubebwa. Basi alikuwa kwanza anaanza kurusha mateke mgongoni kwa mama, akiona...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa...
77 Reactions
204 Replies
11K Views
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli. Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa...
33 Reactions
141 Replies
9K Views
Ndugu zanguni, mipaka ya nchi hutambuliwa kwa ramani. Hamna nchi isiyo na mipaka yake. Naombeni ramani inayoonyesha kuwa mipaka ya Zanzibar inafika hadi Bagamoyo.
6 Reactions
99 Replies
9K Views
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza ukomo wa utumishi wa maofisa wake wawili kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma, watumishi hao...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol...
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Msikilize huyu Mh. "Mkoa wa Geita una vijiji 486, mpaka sasa tumekwishafikisha umeme katika vijiji 556 na katika vijiji 130 vilivyobaki vyote vina mikataba na vyote vina wakandarasi," January...
0 Reactions
8 Replies
990 Views
Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo. Mbali na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa. Akiongea...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…