Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mbunge, Mkurugenzi, na wateule wote, wakiongea maneno 10, basi maneno 7 ni kupongeza na kusifu. Mbaya zaidi, kwa sasa hata hawaangalii mazingira, kila akipewa mic...
5 Reactions
10 Replies
896 Views
Hii ndio Tanzania. Mwaka 2015 wakati wa uchaguzi mkuu mgombea urais wa CCM Magufuli alitoa ahadi ya kuanzisha mahakama maalum ya kushughulikia ufisadi. Baada ya kushinda uchaguzi aliitimiza...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni? Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta...
65 Reactions
115 Replies
8K Views
MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA * Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 * Jimbo lina Sekondari za Kata...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amemwambia Askofu Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati Kwamba tangu alipokuwa Sekondari ndoto yake ilikuwa ni siku Moja aje kusaini Noti ya Tanzania na imekaribia...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku. Watanzania hivi...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ilikuwa furaha kubwa Jana kuzungumza kwa mara nyingine na Wananchi wa Kahama Jana. Maisha yangu ya kisiasa hayawezi kuandikwa bila ya Hoja ya Buzwagi, mgodi wa madini uliokuwa hapa Kahama. Baadhi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
#HABARI Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba amemsweka ndani afisa manunuzi wa halmashauri ya Manyoni Joseph Swila kwa kukiuka maagizo aliyoyatoa jana wakati alipofika kukagua ujenzi wa wodi ya...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais, Kijiolojia na kama muungano utadumu, Zanzibar ina kila sababu ya kupewa ardhi bara ili isipotee na ikipotea basi hakuna muungano tena maana Zanzibar haitakuwepo kwenye atlas ya dunia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwaongoza Watendaji wa Wizara hiyo, Wadau mbalimbali wa Sekta hiyo na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Ngoja tuone maana Shubiri ndio alovera mmea muhimu Sana kwa tiba ya mwili Vyama Vyote vya upinzani vinapendelea Asali sasa hiki chama kipya cha Umoja tunasubiri kwa hamu kuona uelekeo wake...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Na Comrade Christopher H.Bomola Mwanafalsafa Rosalynn Carter alipata kusema "kiongozi ni mtu anayewaongoza watu na kuwafikisha wanapotaka kwenda,lakini kiongozi bora ni yule anayewaongoza watu na...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana. Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho...
13 Reactions
78 Replies
8K Views
Kuanzia leo nitawapinga wote wanaopinga UFISADI na MAFISADI kwani mafisadi wamekuwa ndio waajiri wetu kwa sasa. Kutokana na ufisadi na mafisadi Kuongezeka na upigaji wa pesa ya Umma kuwa mkubwa...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono kwa Rais Samia kutoka jumuiya ya Wanamichezo kumewachanganya na kuwavuruga Akili wapinzani hapa nchini,Sasa wapinzani...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…