Kama kwenye Katiba mpya tutakopa Baadhi ya mambo hili la Bunge kumthibitisha Boss wa Usalama wa Taifa tuliache!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,015
142,055
Ni wazi kwenye kutengeneza Katiba mpya tutakopa Baadhi ya mambo mazuri Kutoka kwenye Katiba mbalimbali za Nchi zilizofanikiwa

Leo Rais Ruto wa Kenya amemteua DPP Hajji kuwa Boss wa NIT lakini ni lazima athibitishwe na Bunge kwa mujibu wa Katiba

Ndio nikalitafakari Bunge letu la akina Kibajaj na Babu Tale

Mlale Unono!
 
Hata kwenya ni matapeli tu hakuna wanasiasa bora dunia nzima,Kenya kumeoza bora hata hapa bongo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mpaka sasa hapo Kenya aliyeteuliwa na Rais Bunge likagoma kumthibitisha. Hakuna Bunge la kumgomea Rais alichoakiamua. Acha tu watekeleze katiba lakini Rutto ndio mteuaji wa mwisho.
 
Sio hivyo mzee,

Ukiona hawakatai maana yake ni kwamba vigezo na masihara vimezingatiwa
 
Ni wazi kwenye kutengeneza Katiba mpya tutakopa Baadhi ya mambo mazuri Kutoka kwenye Katiba mbalimbali za Nchi zilizofanikiwa

Leo Rais Ruto wa Kenya amemteua DPP Hajji kuwa Boss wa NIT lakini ni lazima athibitishwe na Bunge kwa mujibu wa Katiba

Ndio nikalitafakari Bunge letu la akina Kibajaj na Babu Tale

Mlale Unono!
Hata Mimi naona ni upuuzi,Huyu anawedha thibitishwa kama Majaji sio upuuzi wa kwenda kuhojiwa Bungeni labda Kamati ya Bunge ya usalama inaweza pitisha Majina kutoka kwenye jopo la vetting ndio yaende Kwa Rais akateue.
Kuwe na mchucho wa Majina 5,kamati ya Bunge 3 na Rais 1
 
Back
Top Bottom