Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya...
20 Reactions
24 Replies
528 Views
Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia. Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic Sekta...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi...
14 Reactions
36 Replies
632 Views
Kweli bongo inakwenda mbio,hapa unaweza ukala kote kuwili
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Wanabodi, Nimeogopeshwa na lugha kali za kuyapinga maandamano ya huyu dada Mange Kimambi!, kumbe Mange anaogopwa hivi?!. Yaani anahamasisha maandamano ya mtandaoni tuu kuwa watu wataandamana...
61 Reactions
247 Replies
23K Views
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha...
6 Reactions
15 Replies
171 Views
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima...
3 Reactions
117 Replies
1K Views
NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya...
0 Reactions
8 Replies
210 Views
Haya ni maoni ya huyu Msomi wa Sheria. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote -- Waziri hana mamlaka ya kisheria, na wala ya kikatiba, ya kuzuia shughuli za...
10 Reactions
32 Replies
482 Views
DeletedMember281674
IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na...
4 Reactions
13 Replies
363 Views
Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa...
19 Reactions
104 Replies
11K Views
Kwanza mpaka sasa asilimia kubwa ya watanzania hatujui maana ya neno uzalendo, tunalitafsiri katika hisia za kisiasa tu, Leo hii ukiuliza swali dogo tu ukasema kati ya Magufuli na Lissu nani...
8 Reactions
114 Replies
7K Views
Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili...
1 Reactions
4 Replies
83 Views
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi? Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuiga si vibaya as long as tunaiga kile kilicho sahihi na manufaa kwetu sote. Huyu kijana wa Indonesia anapewa zawadi ya pesa cash na FBI wa marekani kwa kutoa taarifa zilizopelekea kukamatwa kwa...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri...
23 Reactions
149 Replies
2K Views
Juzi Mnyika amesema CHADEMA imepoteza mil. 918 kwa kutofanya mikutano je! Hizi Hela zinaingiaje nchini? Au hazipitii bank? Ni beberu yupi aliwapa chadema Hela ili ikiwezekana tumuwekee vikwazo...
3 Reactions
53 Replies
275 Views
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki. Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko . Mfano mdogo ni platform za...
10 Reactions
11 Replies
258 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali haina ugomvi na chama chochote cha siasa, bali inaweka mbele kipaumbele...
2 Reactions
9 Replies
198 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Lameck Nchemba, amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt...
2 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…