Mfikiriavyo juu ya Humphrey Polepole sio sahihi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?

Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.

Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole

Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.

Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.

POLEPOLE🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️

Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???😄😄😄

Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.

Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.
 
Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza
Naunga mkono hoja, wengi hawamjui Polepole, mimi namjua na sii mara moja au mara mbili nimewahi kuwaelimisha watu humu kumhusu Polepole
Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
P
 
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?

Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana

Mazee, acheni hizo.
 
Toa hoja why tuache?
P
Tishio lolote lililo karibu "Existential Threat" haliwezi kuwachiwa lijipalilie njia tena likiwa karibu hivyo ni bora likawa mbali zaidi.

Mengi tayari yameongelewa humu JF juu ya huu uhamisho.

Reference ni John Nchimbi je baada ya Cuba au Mexico yuko wapi?

Hivyo uhamisho huu naamini ni kuondoa chembechembe za vumbi na si vinginevyo.
 
Kuna wengine vinyonga jana waliokuwa positive kwenye Uzi wa yule jamaa wa maji chumvi
 
Kitendo Cha kumpa teuzi nyingine polepole, ni dharau kwa maridhiano yanayoendelea, polepole ni adui wa demokrasia nchi hii, ni tapeli wa kisiasa, pia ni muasisi wa mateso waliyopitia viongozi wastaafu. Polepole anatakiwa awe mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili. Hakuna maridhiano ya kweli Kama polepole anaendelea kutembelea v8
 
Bado nakumbuka tuhuma yake ya kubaka wabunge vitu maalum na jinsi ilivyo funikwa...na Ile picha ya KY kwenye apartment yake Dodoma
 
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?

Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.

Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole

Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.

Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.

POLEPOLE🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️

Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???😄😄😄

Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.

Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.
Angalau atajifunza Ki Spanish, au kispaniola!
 
Tishio lolote lililo karibu "Existential Threat" haliwezi kuwachiwa lijipalilie njia tena likiwa karibu hivyo ni bora likawa mbali zaidi.

Mengi tayari yameongelewa humu JF juu ya huu uhamisho.

Reference ni John Nchimbi je baada ya Cuba au Mexico yuko wapi?

Hivyo uhamisho huu naamini ni kuondoa chembechembe za vumbi na si vinginevyo.
John Nchimbi wa Mexico na Cuba ndio yupi? Au ulimaanisha Emmanuel Nchimbi aliyepelekwa kuwa Balozi huko Brazil na sasa yupo Misri? Km hujui hata Dr. Nchimbi alikuwa balozi wapi, huwa mnatoa wapi ujasiri wa kujiita great thinker?
 
Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?

Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.

Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole

Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.

Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.

POLEPOLE

Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???

Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.

Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.
Sasa unalia nini ?
 
Back
Top Bottom