Police Tanzania igeni "reward for justice" ya America itawasaidia sana

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,892
16,413
Kuiga si vibaya as long as tunaiga kile kilicho sahihi na manufaa kwetu sote.

Huyu kijana wa Indonesia anapewa zawadi ya pesa cash na FBI wa marekani kwa kutoa taarifa zilizopelekea kukamatwa kwa wahalifu nchini marekani kitu ambacho waziri Mwigulu Nchemba na jeshi la police waki publicize kupitia media wanaweza kuhamasisha raia wema kutoa taarifa za wahalifu.

tmp_22280-7456911372352107.jpg
 
Hiyo mbinu ni nzuri sana, tatizo bongo mtoa taarifa akitupia mikato kama ya huyo mdau watadai al shabab
 
Kuiga si vibaya as long as tunaiga kile kilicho sahihi na manufaa kwetu sote.

Huyu kijana wa Indonesia anapewa zawadi ya pesa cash na FBI wa marekani kwa kutoa taarifa zilizopelekea kukamatwa kwa wahalifu nchini marekani kitu ambacho waziri Mwigulu Nchemba na jeshi la police waki publicize kupitia media wanaweza kuhamasisha raia wema kutoa taarifa za wahalifu.
View attachment 504996
Wazo zuri sana
 
Usiongope wewe dunia ya Tanzania jeshi la policcm linashirikiana na bashite kuvamia,clauds,kumuonyesha nape bastola,kumteka Roma,sasa bashite sio mhalifu tena anayelindwa kwa nguvu zote, ni nani mpaka afanye yote haya, basi twambie ?
 
Back
Top Bottom