Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu.
Je sh...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwajulisheni ya Kuwa Mwenezi Wa CCM Taifa hana Ratiba ya kufanya ziara ya kichama sehemu yoyote ile Nchini baada ya kutokewa kwa Katazo na zuio la mikutano yote...
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah...
CCM ile ambayo ilikuwa haijachokwa ilikuwa na kiburi sana. Walikuwa hawaogopi chama chochote na walikuwa wanatumia Khanga na nyimbo za John Komba kuwarubuni kina mama ili kupata kura.
Leo hii...
Huenda Usalama wa Taifa wakikaa mezani, vichwa vinawaza namna ya kuzuia Lissu, CHADEMA .
Hiii yote ni sababu ya KATIBA MBOVU tulonayo, Watu Smart wanaachwa na kupigwa majungu, huku wale wengine...
Imekuwa mara ya pili Sasa Serikali inapanga kuwaambia Wananchi uongo na kazi hiyo anapewa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa.
Hata kama anajipanga...
Sikuhizi hadi nashindwa kuandika,madudu niliyojionea, nikuwaza hadi naskia uchungu na kulia kabisa
Honestly nchi inapigwa hii infact hatuna viongozi kabisa
Laiti mngejua mngeuangana wote bila...
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH.
Assalaam alaikum...
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na...
Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno...
Kwenye tawala nyingi za Afrika kuna vibweka vingi sana kwenye huu uzi ntaongelea kibweka kilichotolea wakati wa utawala wa magufuli
Magufuli alipoingia madarakani alipiga marufuku ajira kwa...
Andiko la Mohamed Mshamu Ngulangwa ambaye amejiuzulu nafasi ya Ukurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma kwenye chama Civic United Front (CUF):
===================
Leo Jumamosi Juni 27...
Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na...
Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka?
Waziri...
Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa...
Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa
Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani.
Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme...
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo...
Jeshi la polisi Tanzania, mmemsikia waziri mkuu,snadai Kuna mtu kakamatwa na mabomu, JE nyinyi mdo mlimkamata? Mbona mpo kimnya? Mtajeni tumjue huyo ni adui wa Taifa letu sote kama kweli kakamatwa...
Moja ya kitu siwezi kukisaau ni KAULI za hayati Magufuli enzi za maradhi ya korona hakika zilizuia taharuki kubwa sana kwa wananchi,
Wapo walio KAIDI ushauri wao na kwakweli waliondoka na korona...
Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.