CCM kwenye hatua ya total paralysis

CCM kwenye hatua ya total paralysis

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,701
Reaction score
858,325
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya kukubalika kama sauti mbadala ya matumaini.

Wakati CCM kikiparalajika kupitia demokrasia ya ndani na wanachama wake kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi kwa uhuru kutokana na maagizo ya juu, CHADEMA kimekuwa kikijipambanua kwa kauli mbiu na mikakati inayovutia vijana na makundi yaliyokata tamaa.

CHADEMA kinatumia mwanya huo kujenga taswira ya chama kinachotoa nafasi kwa demokrasia ya kweli, kikivuna wanachama wapya wenye kiu ya mabadiliko ambao wanaona ladha ya kisiasa ndani ya CCM imekwisha kabisa.

Sambamba na hilo
wakati mifumo ya uadilifu ndani ya CCM ikisimama kufanya kazi na kulinda kashfa za ufisadi zinazofichuliwa na CAG, CHADEMA kinasimama imara jukwaani kama mlinzi mkuu wa rasilimali za wanyonge.

Hoja nzito za CHADEMA kuhusu uwazi, kupiga vita ufisadi, na kudai Katiba Mpya zinapenya kwa urahisi mioyoni mwa wananchi wanaoumia na ugumu wa maisha.

Kupooza kwa CCM kiitikadi kunakifanya kishindwe kujibu hoja hizi kwa mashiko, na hivyo kukifanya CHADEMA kionekane si tu chama cha upinzani, bali kama "serikali mbadala" inayosubiri wakati wake kurekebisha mifumo ya nchi iliyoharibika.

Kilele cha kupooza kwa CCM kinashuhudiwa pale kinapoacha kutegemea nguvu ya ushawishi na badala yake kutumia mbeleko ya vyombo vya dola kuminya siasa, hali inayozidisha chuki dhidi yake na kuongeza umaarufu kwa CHADEMA kama chama cha wapambanaji.

Wananchi wanapoona CHADEMA kikiendelea kusimama imara na kufanya mikutano ya hadhara licha ya changamoto, ukandamizaji, na misukosuko ya kisiasa, wanakichukulia chama hicho kama ishara ya ujasiri na ukombozi.

Kupooza kwa misuli ya kisiasa ya CCM kunakilazimisha kutumia nguvu, jambo linalowathibitishia wananchi kuwa hoja za CHADEMA zina ukweli uliokishinda chama tawala.

Mwisho wa siku, kujilazimisha kwa CCM iliyopooza kubaki madarakani kunatengeneza mazingira ambapo jamii inahamisha uhalali wote wa kijamii (social legitimacy) na kuukabidhi kwa CHADEMA.

Hotuba na sera za viongozi wa CHADEMA sasa hivi zinasikilizwa na kuaminiwa na makundi makubwa ya jamii kuliko ahadi za kisanii za chama tawala ambazo zimeshoteza ladha.

Katika hatua hii hatari ambapo nchi nzima inatishia kukwama kwa sababu ya kupooza kwa CCM, CHADEMA kinazidi kujizolea sifa na kukubalika kimataifa na ndani ya nchi kama chama pekee chenye misuli, hamasa, na uwezo wa kuivusha Tanzania kuelekea zama mpya za maendeleo.
 
kupigana kamba kwingine ni kwa ajabu sana aise 🤣
 
Kamba ipi ,
Mmeshindwa kujibu hoja za Heche kwa kumtumia Wasira na mkimbiza mwenge Kihongosi na mkulima wa nyanya Happiness Hapi sasa leo mmetoa IGP mchagoni punde tutasikia Mkunda "anafanya usafi" mijini akishirikiana na mazombie wa KMKM.
relax gentleman plz 🤣
 
1782488619363.jpg
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametangaza kuwa wamejipanga kuchukua hatua nzito za kisheria ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, hana mamlaka yoyote kikatiba ya kuzuia mikutano ya kisiasa.

Kauli hiyo imekuja kufuatia agizo la Waziri Katambi alilolitoa Bungeni jijini Dodoma, akilitaka Jeshi la Polisi chini ya IGP Camillus Wambura kusitisha utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini, akihofia tetesi za kuwepo kwa maandamano ya tarehe 7 Julai.

Kupitia taarifa rasmi aliyoisambaza kwenye mitandao yake ya kijamii, Mwabukusi ameeleza kuwa TLS imeshtushwa na tamko hilo na iko tayari kuwawajibisha kisheria popote pale wale wote watakaojaribu kutekeleza amri hiyo aliyoiita kuwa ni haramu na batili.

"Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka yoyote ya kuzuia au kutozuia mikutano iliyoruhusiwa kisheria. Aidha, siyo jukumu la IGP kutoa vibali vya mkutano au ruhusa ya mkutano. TLS imepokea kwa mshtuko taarifa hizi na tutakaa na kuona namna ambayo tutachukua hatua za kisheria za ndani ya nchi na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakayejaribu kutekeleza agizo hili haramu na batili," amesema Wakili Mwabukusi.

Mwabukusi amefafanua kuwa mikutano ya ndani na ya hadhara ya vyama vya siasa inaratibiwa na kusimamiwa na vyama vyenyewe kisheria, na kwamba jukumu pekee la Jeshi la Polisi kikatiba ni kutoa ulinzi na kudumisha amani na si kutoa au kunyima vibali vya mikutano hiyo.

#SasaLive #BonifaceMwabukusi #TLS #PatrobasKatambi #HakiZaKikatiba MikutanoYaKisiasa SheriaNaHaki Tanzania2026
1782489054075.jpg
 
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya kukubalika kama sauti mbadala ya matumaini.

Wakati CCM kikiparalajika kupitia demokrasia ya ndani na wanachama wake kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi kwa uhuru kutokana na maagizo ya juu, CHADEMA kimekuwa kikijipambanua kwa kauli mbiu na mikakati inayovutia vijana na makundi yaliyokata tamaa.

CHADEMA kinatumia mwanya huo kujenga taswira ya chama kinachotoa nafasi kwa demokrasia ya kweli, kikivuna wanachama wapya wenye kiu ya mabadiliko ambao wanaona ladha ya kisiasa ndani ya CCM imekwisha kabisa.

Sambamba na hilo
wakati mifumo ya uadilifu ndani ya CCM ikisimama kufanya kazi na kulinda kashfa za ufisadi zinazofichuliwa na CAG, CHADEMA kinasimama imara jukwaani kama mlinzi mkuu wa rasilimali za wanyonge.

Hoja nzito za CHADEMA kuhusu uwazi, kupiga vita ufisadi, na kudai Katiba Mpya zinapenya kwa urahisi mioyoni mwa wananchi wanaoumia na ugumu wa maisha.

Kupooza kwa CCM kiitikadi kunakifanya kishindwe kujibu hoja hizi kwa mashiko, na hivyo kukifanya CHADEMA kionekane si tu chama cha upinzani, bali kama "serikali mbadala" inayosubiri wakati wake kurekebisha mifumo ya nchi iliyoharibika.

Kilele cha kupooza kwa CCM kinashuhudiwa pale kinapoacha kutegemea nguvu ya ushawishi na badala yake kutumia mbeleko ya vyombo vya dola kuminya siasa, hali inayozidisha chuki dhidi yake na kuongeza umaarufu kwa CHADEMA kama chama cha wapambanaji.

Wananchi wanapoona CHADEMA kikiendelea kusimama imara na kufanya mikutano ya hadhara licha ya changamoto, ukandamizaji, na misukosuko ya kisiasa, wanakichukulia chama hicho kama ishara ya ujasiri na ukombozi.

Kupooza kwa misuli ya kisiasa ya CCM kunakilazimisha kutumia nguvu, jambo linalowathibitishia wananchi kuwa hoja za CHADEMA zina ukweli uliokishinda chama tawala.

Mwisho wa siku, kujilazimisha kwa CCM iliyopooza kubaki madarakani kunatengeneza mazingira ambapo jamii inahamisha uhalali wote wa kijamii (social legitimacy) na kuukabidhi kwa CHADEMA.

Hotuba na sera za viongozi wa CHADEMA sasa hivi zinasikilizwa na kuaminiwa na makundi makubwa ya jamii kuliko ahadi za kisanii za chama tawala ambazo zimeshoteza ladha.

Katika hatua hii hatari ambapo nchi nzima inatishia kukwama kwa sababu ya kupooza kwa CCM, CHADEMA kinazidi kujizolea sifa na kukubalika kimataifa na ndani ya nchi kama chama pekee chenye misuli, hamasa, na uwezo wa kuivusha Tanzania kuelekea zama mpya za maendeleo.
Uthibitisho wa kuwa Mungu anatenda na kamwe hadhihakiwi wala kupangiwa!
 
Hili katazo lao sio la bure Kuna uwezekano TAL akaachiliwa

Ila sasa wametengeneza mazingira ya kumbana asipate mwanya wa kwenda kumwaga upupu nje

Kwasababu kama angetoka akaja kukutana na hii operation ya heche na wenzake jinsi wanavyosepa na Kijiji na akaungana nao nakwambia moto ungewaka pasingetosha

Tena yawezekana movement kubwa zaidi ingezaliwa tangu siku tu anaachiliwa

Kwahy sasa akiachiliwa TAL akakutana na hili katazo Kuna nguvu fulan itapungua

Kwenye vyombo vya habari nako hatapata nafasi kwasababu ya maelekezo kutoka juu

Kitakachobaki ni kuanza kukimbinzana na Katambi ,Igp na mwanasheria Mkuu wa serikali kwenye viunga vya mahakama ambapo huko kote kesi itakuwa inapigwa kalenda

Na hizi ndizo akili za ccm 😂 tunzen maneno yangu mtakuja kunipa ushahidi soon , DPP anaenda kufuta kesi tar 6 july
 
Na iwe hivyo; vinginevyo CHADEMA wana wajibu wa kumpigania Mwenyekiti wao, pawepo na mikutano au isiwepo mikutano.

Hiyo ndiyo itakuwa ajenda kuu ya chama itakayotimizwa kwa njia zozote zile.
 
Hili katazo lao sio la bure Kuna uwezekano TAL akaachiliwa
Hilo katazo matokeo yake yakiwa hayo unayosema wewe litakuwa jambo jema.

Lakini kwa uhakika kabisa katazo la mikutano linatokana na mikutano inayofanywa na CHADEMA na jinsi wananchi wanayoitikia mikutano hiyo. Hii ni hali inayotisha sana kwa yeyote asiyependa mabadiliko.

CHADEMA waliachwa wafanye mikutano kwa mategemeo ya kwamba:
1. wananchi watawapuuza. Badala ya wananchi kuwapuuza CHDEMA, hali imekuwa kinyume chake.

2.watajimaliza wenyewe kwa matamshi yao kwenye mikutano hiyo, na kupata nafasi ya kuwamaliza moja kwa moja. CHADEMA hili wamefanikiwa kwa ufundi mkubwa sana kuliepa, na badala yake ajenda wanazowasilisha kwa wananchi zinachochea kwa kasi sana wananchi kutafuta njia za kupata mabadiliko Hili ndilo limewatia kiwewe moja kwa moja viongozi wa CCM
Na hawana majibu ya kuwapa wananchi

3. Sababu nyingine iliyofanya CHDEMA waachiwe kufanya mikutano ni kudhani kwamba hali hiyo ingetumika kushawishi watu, hasa mataifa ya nje kwamba Tanzania hakuna matatizo yoyote, na kwamba hali ya kisiasa ni shwari.
Hili nalo uzito wake, au faida inayotokana na hali hiyo haiwanufaishi chochote watawala; kwa sababu ndiyo kwanza vibano vinaongezeka.

Kwa hiyo, swala la Lissu kuachiwa, pamoja na kwamba ikitokea litakuwa jambo jema sana; lakini kiuzito katika kuwanufaisha watawala sioni likiwa na uzito huo kiasi cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
 
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya kukubalika kama sauti mbadala ya matumain
Mwenyekiti wa chama ajiteue yeye mwenyewe kuwa mgombea wa u-rais; na yeye huyo huyo atumie kila aina ya ulaghai kukataa katakata kufanya marekebisho, angalau kidogo ili uchaguzi uonekane kuwa wa haki na huru.
Tena yeye mwenyewe na genge lake wachukue usimamizi wa kuteua wagombea wote wa nafasi za ubunge; na kama hayo yote hayatoshi, siku ya kura, na waziwazi watu wakikataa kujitokeza kwenda kupiga kura, lakini yeye kishajipangia kupata ushindi wa asili mia 98; katika kura milioni zaidi ya 30 waliopiga kura!

Na kama yote hayo hayakutosha; huyo huyyo kaamua kuwaua kikatili sana waTanzania waliojitokeza kupinga hujuma zilizofanywa katika mtiririko mzima wa uchaguzi.

Katika hali ya namna hii, hiyo inayoitwa CCM itapata wapi nguvu za kwenda kuwaona waTanzania uso kwa uso katika mikutano ya hadhara!.

Ni wazi kwamba CHADEMA waliachwa wafanye siasa kwa muda kwa sababu ya mategemeo fulani. Kulikuwa na mitego ndani ya mategemeo hayo, mitego ambayo CHADEMA wamemudu kuishinda na badala yake kuwa tishio kwa waovu hawa.
Sasa ni too late, the damage has been done permanently.
 
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya kukubalika kama sauti mbadala ya matumaini.

Wakati CCM kikiparalajika kupitia demokrasia ya ndani na wanachama wake kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi kwa uhuru kutokana na maagizo ya juu, CHADEMA kimekuwa kikijipambanua kwa kauli mbiu na mikakati inayovutia vijana na makundi yaliyokata tamaa.

CHADEMA kinatumia mwanya huo kujenga taswira ya chama kinachotoa nafasi kwa demokrasia ya kweli, kikivuna wanachama wapya wenye kiu ya mabadiliko ambao wanaona ladha ya kisiasa ndani ya CCM imekwisha kabisa.

Sambamba na hilo
wakati mifumo ya uadilifu ndani ya CCM ikisimama kufanya kazi na kulinda kashfa za ufisadi zinazofichuliwa na CAG, CHADEMA kinasimama imara jukwaani kama mlinzi mkuu wa rasilimali za wanyonge.

Hoja nzito za CHADEMA kuhusu uwazi, kupiga vita ufisadi, na kudai Katiba Mpya zinapenya kwa urahisi mioyoni mwa wananchi wanaoumia na ugumu wa maisha.

Kupooza kwa CCM kiitikadi kunakifanya kishindwe kujibu hoja hizi kwa mashiko, na hivyo kukifanya CHADEMA kionekane si tu chama cha upinzani, bali kama "serikali mbadala" inayosubiri wakati wake kurekebisha mifumo ya nchi iliyoharibika.

Kilele cha kupooza kwa CCM kinashuhudiwa pale kinapoacha kutegemea nguvu ya ushawishi na badala yake kutumia mbeleko ya vyombo vya dola kuminya siasa, hali inayozidisha chuki dhidi yake na kuongeza umaarufu kwa CHADEMA kama chama cha wapambanaji.

Wananchi wanapoona CHADEMA kikiendelea kusimama imara na kufanya mikutano ya hadhara licha ya changamoto, ukandamizaji, na misukosuko ya kisiasa, wanakichukulia chama hicho kama ishara ya ujasiri na ukombozi.

Kupooza kwa misuli ya kisiasa ya CCM kunakilazimisha kutumia nguvu, jambo linalowathibitishia wananchi kuwa hoja za CHADEMA zina ukweli uliokishinda chama tawala.

Mwisho wa siku, kujilazimisha kwa CCM iliyopooza kubaki madarakani kunatengeneza mazingira ambapo jamii inahamisha uhalali wote wa kijamii (social legitimacy) na kuukabidhi kwa CHADEMA.

Hotuba na sera za viongozi wa CHADEMA sasa hivi zinasikilizwa na kuaminiwa na makundi makubwa ya jamii kuliko ahadi za kisanii za chama tawala ambazo zimeshoteza ladha.

Katika hatua hii hatari ambapo nchi nzima inatishia kukwama kwa sababu ya kupooza kwa CCM, CHADEMA kinazidi kujizolea sifa na kukubalika kimataifa na ndani ya nchi kama chama pekee chenye misuli, hamasa, na uwezo wa kuivusha Tanzania kuelekea zama mpya za maendeleo.
Ni ukweli usio pingika kuwa at the moment survival ya CCM ni kwakutumia dola (state organs). Ni teke la punda anaekata roho.
 
Hilo katazo matokeo yake yakiwa hayo unayosema wewe litakuwa jambo jema.

Lakini kwa uhakika kabisa katazo la mikutano linatokana na mikutano inayofanywa na CHADEMA na jinsi wananchi wanayoitikia mikutano hiyo. Hii ni hali inayotisha sana kwa yeyote asiyependa mabadiliko.

CHADEMA waliachwa wafanye mikutano kwa mategemeo ya kwamba:
1. wananchi watawapuuza. Badala ya wananchi kuwapuuza CHDEMA, hali imekuwa kinyume chake.

2.watajimaliza wenyewe kwa matamshi yao kwenye mikutano hiyo, na kupata nafasi ya kuwamaliza moja kwa moja. CHADEMA hili wamefanikiwa kwa ufundi mkubwa sana kuliepa, na badala yake ajenda wanazowasilisha kwa wananchi zinachochea kwa kasi sana wananchi kutafuta njia za kupata mabadiliko Hili ndilo limewatia kiwewe moja kwa moja viongozi wa CCM
Na hawana majibu ya kuwapa wananchi

3. Sababu nyingine iliyofanya CHDEMA waachiwe kufanya mikutano ni kudhani kwamba hali hiyo ingetumika kushawishi watu, hasa mataifa ya nje kwamba Tanzania hakuna matatizo yoyote, na kwamba hali ya kisiasa ni shwari.
Hili nalo uzito wake, au faida inayotokana na hali hiyo haiwanufaishi chochote watawala; kwa sababu ndiyo kwanza vibano vinaongezeka.

Kwa hiyo, swala la Lissu kuachiwa, pamoja na kwamba ikitokea litakuwa jambo jema sana; lakini kiuzito katika kuwanufaisha watawala sioni likiwa na uzito huo kiasi cha kuzuia mikutano ya kisiasa.
Lakini kwa uhakika kabisa katazo la mikutano linatokana na mikutano inayofanywa na CHADEMA na jinsi wananchi wanayoitikia mikutano hiyo. Hii ni hali inayotisha sana kwa yeyote asiyependa mabadiliko.💪🏿🙏🏿
 
Mwenyekiti wa chama ajiteue yeye mwenyewe kuwa mgombea wa u-rais; na yeye huyo huyo atumie kila aina ya ulaghai kukataa katakata kufanya marekebisho, angalau kidogo ili uchaguzi uonekane kuwa wa haki na huru.
Tena yeye mwenyewe na genge lake wachukue usimamizi wa kuteua wagombea wote wa nafasi za ubunge; na kama hayo yote hayatoshi, siku ya kura, na waziwazi watu wakikataa kujitokeza kwenda kupiga kura, lakini yeye kishajipangia kupata ushindi wa asili mia 98; katika kura milioni zaidi ya 30 waliopiga kura!

Na kama yote hayo hayakutosha; huyo huyyo kaamua kuwaua kikatili sana waTanzania waliojitokeza kupinga hujuma zilizofanywa katika mtiririko mzima wa uchaguzi.

Katika hali ya namna hii, hiyo inayoitwa CCM itapata wapi nguvu za kwenda kuwaona waTanzania uso kwa uso katika mikutano ya hadhara!.

Ni wazi kwamba CHADEMA waliachwa wafanye siasa kwa muda kwa sababu ya mategemeo fulani. Kulikuwa na mitego ndani ya mategemeo hayo, mitego ambayo CHADEMA wamemudu kuishinda na badala yake kuwa tishio kwa waovu hawa.
Sasa ni too late, the damage has been done permanently.
Ni wazi kwamba CHADEMA waliachwa wafanye siasa kwa muda kwa sababu ya mategemeo fulani. Kulikuwa na mitego ndani ya mategemeo hayo, mitego ambayo CHADEMA wamemudu kuishinda na badala yake kuwa tishio kwa waovu hawa.
Sasa ni too late, the damage has been done permanently.✍🏿
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom