Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe misaada?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,076
Reaction score
16,739
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
 
naamini huna mtoto ataye rithi akili zako..

chadema inahusika vipi na mauaji? Hamumjui mchawi wenu chawa kila "ntu" ashinde mechi zake, muue wenyewe mkikaliwa kooni na mabeberu wenu muitafute chadema alaaah! Msijali wapo kina rostamu, harbinder, gsm, na wengine muwaite tu tena watasaidia then muwape rasilimali zaidi

Mabeberu wamegoma rushwa zamu hii, kombo bado yupo kwnye makorido dc anatafuta watakaopokea mzigo 😛 😛

Mwaka huu mnalo libebeni tu wandugu
 
Inyimwe mara ngapi?
Tangu lini ex wakoloni wakakupa msaada wa maana?. Tanzania kunyimwa hii misaada ya kinafiki kutoka kwa mabeberu ndio kifo cha chadema Tanzania. Hata Nabii Suleiman kama angekuwa hai angewapa CCM nchi (mtoto) waendelee kuiongoza. Chadema kuomba nchi inyimwe misaada hawana tofauti na yule mama aliyesema bora mtoto afe kwenye ile kesi ya mama wawili waliokuwa wanagombania mtoto aliyehai.
 
chadema inahusika vipi na mauaji? Hamumjui mchawi wenu chawa kila "ntu" ashinde mechi zake, muue wenyewe mkikaliwa kooni na mabeberu wenu muitafute chadema alaaah! Msijali wapo kina rostamu, harbinder, gsm, na wengine muwaite tu tena watasaidia then muwape rasilimali zaidi

Mabeberu wamegoma rushwa zamu hii, kombo bado yupo kwnye makorido dc anatafuta watakaopokea mzigo 😛 😛

Mwaka huu mnalo libebeni tu wandugu
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.

Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.

Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
CCM ndio imetaka inyimwe msaada na kuwekewa vikwazo kwa matendo yake na serikali yake.
 
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.

Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.

Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
Tindwa mtangazaji wa clouds alikua amekaa kibarazani kwake akapigwa risasi bora acha upumbavu kwenye maisha ya watu. Polepole na Kibao walienda nao kuiba vituo vya mafuta Kama hamna hoja kaeni kimya sio kuanzisha nyuzi ambazo hazina maana
 
Slavery Mode Activated..
 
chadema inahusika vipi na mauaji? Hamumjui mchawi wenu chawa kila "ntu" ashinde mechi zake, muue wenyewe mkikaliwa kooni na mabeberu wenu muitafute chadema alaaah! Msijali wapo kina rostamu, harbinder, gsm, na wengine muwaite tu tena watasaidia then muwape rasilimali zaidi

Mabeberu wamegoma rushwa zamu hii, kombo bado yupo kwnye makorido dc anatafuta watakaopokea mzigo 😛 😛

Mwaka huu mnalo libebeni tu wandugu
Wanachadema, wanaCCM na wasiokuwa na vyama wote kwapamoja itatupata hasara ya kunyimwa misaada, ispokuwa wale tu ambao watoto wao hawako Tz kama vile Lema, Lisu, Heche, nk. Wakati watoto na wajukuu wetu wakikosa chanjo wao watoto wao hawakumbani na kadhia hiyo.
 
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.

Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.

Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?

Kawaambie mabeberu basi kwamba kenge tumeridhia ili kombo arudi kwa mama yake, mtajuana nao wawape misaada mingine! Kwani chadema ndio ipo kwnye makorido ya EU na US?

Peleka report kawaambie wale watoto walikua na mawe wanataka kumpindua mama yako, mkachukua vifaru na mabomu mkaue mumlinde mama yenu
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Gentleman,
Tanazania tumejipanga vizuri sana,
na hao vibaraka wanaoshinikiza hali hiyo kwa mabwenyenye, wapiga kura wa Tanzania wanawaona na kwakweli watashughulika nao vizuri sana oct.2030 kwenye sanduku la kura.

ukibaraka wao sasa utakua rasmi umewakosesha sababu au kisingizio chao cha kilasiku cha kuibiwa kura, kumbe walikua na nia ovu ambayo wanaidhihirisha waziwazi hivi sasa kwa waTanzania.

Wapiga kura waTanzania,
watawakataa wazi wazi kabisa uso kwa macho, hasa waomba uongozi wa kisiasa kutoka chama hicho kinachowafadhili na kuwahifadhi hao vibaraka :1Head:
 
Si yo chadema tu, haha Mimi nataka hivyo. Hatuwezi kuongozwa na watu wanaotegemea misaada kwa ajili ya maendeleo. CCM na serikali yake hawafikirii nje ya box. Wakishughulikiwa na westeners wanakimbilia kwa Putin, ovyo sana. Hawana capacity ya innovation ya kutatua matatizo zaidi ya kuuwa na kuteka na kubaka
 
Tindwa mtangazaji wa clouds alikua amekaa kibarazani kwake akapigwa risasi bora acha upumbavu kwenye maisha ya watu. Polepole na Kibao walienda nao kuiba vituo vya mafuta Kama hamna hoja kaeni kimya sio kuanzisha nyuzi ambazo hazina maana
Hata mimi nilikoswakoswa na risasi baada ya kukaidi amri ya kubaki ndani. Amani ilitulemaza, nilikuwa nikidhani wanatania tu.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Mkongwe kama ww kuleta upuuzi kama huu hapa ni aibu
 
Udhalimu wa serikali haramu ya CCM ndiyo utasababisha nchi inyimwe misaada. Kwani wangetenda haki na kuacha demokrasia ichukue mkondo wake wangekosa nini? Uroho na ubinafsi wa viongozi wahafidhina wa CCM ndiyo chanzo cha nchi kunyimwa misaada.Kuilaumu Chadema ni kuwa kipofu wa kutoona kiini cha mkwamo wa kisiasa ni nini.
 
Back
Top Bottom