Naomba kuwasihi viongozi wote wa dini nchi Tanzania kuandaa siku maalum kuliombea taifa na kuwashtaki kwa Mungu wahusika wote kwenye ubinafsishaji huu utakaolitumbukiza taifa shimoni hadi vizazi...
Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100?
Maana...
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa zinazoeleza kuwa wabunge 10 walioenda Dubai, walipewa ofa ya kutalii huko Dubai kwa gharama za mfalme wa huko.
Inaelezwa kwamba wabunge wote 10 walioalikwa...
Katiba yetu ya sasa, ni mbovu sana, na kwa kweli anayeshabikia kuwa hii katiba ya sasa iendelee, ni mnafiki, na adui mkubwa wa Taifa letu. Na anayechelewesha kupatikana kwa katiba mpya, ni shetani...
Kesho wabunge watapitisha mkataba wa kimangungo kuhusu bandari yetu. Rais na bunge wameamua kubariki umwagikaji damu ya watanzania bila sababu.
Hiyo damu itakayomwagika Allah ataihitaji mikononi...
Ulinzi wa rasilimali za nchi ni jukumu la nani?
Kuna mjadala mpana na makini unaendelea duniani juma hili huku duru mbalimbali zikitilia shaka ujio wa ndege kubwa ya mizigo iliyotua uwanja wa...
Rais Samia anazidi kujipambanua kwa vishindo vya miradi badala ya propaganda
Kwenye bajeti ya mwaka huu tumesema wazi kuwa, tunakwenda kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bandari ya Dar es...
Hii nchi Ina viongozi wengi wameipambania sana hadi hapa ilipo lakini naona kama Serikali imeamua kuwasahau kabisa, mfano Mwl Nyerere jina lake limetumika kwenye taasisi na miundombinu mbalimbali...
Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku...
Nakumbuka tu Enzi za Bunge bora kabisa la vyama vingi tangu tupate Uhuru
Atakayekuwepo Kesho bungeni ni Stella Manyanya Pekee, Mungu ambariki sana
Mlale Unono!
1. Mashariti ya mkataba, ambayo wengine wanatafsiri hakuna kujitoa yanatishia kurudisha migogoro, kesi, faini kubwa na hasara kwa taifa kama mikataba mingine mibovu iliyowahi kuvunjwa huko nyuma...
Kwa kumbukumbu zangu, Kwa Mkapa na Jk hata Magufuli, sikuwahi kushuhudia kiwango hiki cha teuzi, kwa wastani Rais anateua kila siku.
Kiwango cha kuteua na kuhamisha ni cha kutisha katika nchi hii...
Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari...
Wengi wanaamini Tanganyika ilikufa 1964 na kuzaliwa nchi mpya Tanzania .
Lakini Raza Mwenyezi Mungu amlaze pahala pema aliamini Tanganyika Imejificha Kwenye Koti la Muungano kama Chawa.
Sasa...
Ninyi wote mnajua taifa liko kwenye sintofahamu kubwa kuhusu mradi wa bandari.Mnafikiri ni wakati sahihi kulazimisha ajenda yenu kwa maslahi yoyote mnayoamini kwa wakati huu kwakuwa ni viongozi...
Unapoongelea ubinafsishaji, moja kwa moja inakupeleka kwenye uchambuzi wa kiuchumi na kibiashara. Maana yake ni kwamba, huu uchambuzi wa kiuchumi na kibiashara, ni masuala ya umuhimu kabisa...
Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki...
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko.
ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30...
Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya...