Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Bandari yetu ya Dar es Salaam iliyopo Kurasini ndio bandari katika nchi yetu, na ni bandari ya pili kwa uwezo wa kuhudumia mizigo hapa Afrika Mashariki. Bandari ya Dar es Salaam inawashindani wa...
2 Reactions
1 Replies
797 Views
Mlio mbali kimbilieni TBC mh Halima James Mdee anatema cheche kwa niaba ya Chadema Naona Spika Tulia analeta changamoto lakini Halima James Mdee yuko moto
15 Reactions
126 Replies
13K Views
WANAODAI KAMPUNI YA PRIDE TANZANIA KULIPWA JULAI 2023 Serikali itaanza kuwalipa Watanzania wanaoidai Kampuni ya Pride Tanzania Julai mwaka huu baada ya taratibu za ufilisi kukamilika. Pride...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kunapo kuwepo na makubaliano ya pande mbili hususani katika minority point of view. Tulitegemea Bunge liwe sehemu ya wabunge kuchambua maelezo ya makubaliano na kuyawakilisha kwa niaba ya...
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia...
11 Reactions
57 Replies
5K Views
Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeshauri mikataba ya utekelezaji itakayosainiwa itaje muda maalumu wa utekelezaji wa miradi ambao utazingatia maslahi mapana ya nchi ya Tanzania. Ushauri huo...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme...
23 Reactions
87 Replies
5K Views
Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni: 1. Kupunguza muda wa ushushaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema...
-1 Reactions
8 Replies
890 Views
Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja...
7 Reactions
7 Replies
891 Views
Chadema ni kikundi cha wanaharakati kama vile ......na ..... na wamethibitisha kuwa utamaduni wa Siasa za amani,upendo na udugu hawazijui na hawataki kuzijua kabisa! Niliwahi kuandika siku moja...
-2 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…