sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Kuna andiko la Mh Zitto zuberi kamwe hakika limenifanya nitafakari mengi sana dhidi ya mkoa wetu wa kagera
Naomba nidikree interest(utajuaje mi ni nshomire paspo kuchanganya lugha hasa kimombo?)
Mimi ni mzaliwa wa kagera wilaya ya Muleba kata ya nshamba Kijiji Cha kisana karbu na Itongo.
Kwanza nianze Kwa kumpongeza kiongozi wa chama cha Act Wazarendo hakika hizi ndizo siasa tunazoziitaji,tunaitaji siasa za kutufikirisha na kutufanya sisi ambao hatupo kwenye siasa kuanza kutaman kufanya siasa, Kwa maana ya kuwafanya watawala wetu wajue hata sisi tulikonnje Yao tunaweza kuwa kama wao.
Mh Zitto Kabwe ameibua mambo mengi Mimi binafis Nina jiuliza Ili tatizo la umasikini Nini shida Nini chanzo?
Mh Zitto Kabwe ameongea Hoja nyingi nzuri swali la kujiuliza Kwa Nini umaskini wa kagera Leo na kesho?
Nakumbuka wakati nakua mama na baba yangu walinikataza nikipata pesa kwenye maisha yangu kwanza nisioe mhaya sikujua Kwa Nini?pili niliambiwa yakuwa ENDAPO ukiwa kazini EPUKA kujulikana kama mhaya.
Tatu,niliambiwa nikifungua ofisi yangu nisiajili Mhaya mwenzangu.
Usia wa wazazi ni mhmu, kubwa na zuri baba na mama wanakwambia ukipata pesa zako na ukatamani kujenga usijenje Kijijini uliko zaliwa maana ukianza kujenga kabla ya nyumba Yako haijaisha utazikwa kabisa hahahaa hahahaha hahahah nikwadunga swali!
Waliojenga nyumba hizi na magoforofa kama wakina mshuti wapo wapi?wamekufa?wakina zubairi sijui nani yaani wale madoni mbona wapo?
Jibu ni kuwa hata walio Jenga walikuwa konkodi kudadeki, yaani majambazi ya haja hawakuwa watu WA kawaida.
Yaliongelewa mengi lakini yafatayo kwangu naona ni sababu za umasikini wetu.
Kwanza kushuka thamani ya zao la kahawa kahawa iliyolimwa na mababu zetu SI kahawa ya Leo.
Pili magonjwa kama mnyauko ambayo yamepelekea zao la migomba nalo kuteteleka.
Tatu, roho mbaya za kizazi kipya Cha kihaya yaani ni sabbu mojawapo.
Nne Uongozi mbaya na sera mbovu na mitazamo hasi ya viongozi wa ccm dhidi ya watu WA kagera na mkoa wao.
Tano.uchawi wa kijinga miongoni mwa wahaya Kwa wahaya, Tena hapa tunarogana ndugu Kwa ndugu kabisa kisa wivu tu.
Sita,uwepo wa viongozi wasio wabunifu dhidi ya matumizi ya rasirimali ZILIZOPO mkoa wa kagera.
Saba;
Nane
Tisa.
Je wajua majumba mazuri yaliyojengwa miaka mingi mkoani kagera yalijengwa na mama zetu waliokuwa wanajiuza kwenye vibaya mikoa mbalimbali?
Je wajua majumba mengine yalijengwa na majambazi makubwa enzi enzi hizo?
Je wajua matajiri wengi waliokuwa mkoa wa kagera miaka Hiyo waliokufa na utajiri wao?
Je wajua nshomire wengi wa kihaya ni nshomire tu waliotokana na makundi ya waliotajwa?
Je Kwa Nini Samia na Rais Magufuli hawaipendi kagera?