nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,386
- 2,151
Amani kwenu wanaukumbi,
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu muungano wetu nakosa majibu, nimetafakari nikaona ni vema nilete swali langu hapa jukwaani ili nipate kuongezewa maarifa zaidi.
Napenda kujifunza mambo mbalimbali bila kuchoka Kwa faida yangu na vizazi vijavyo, Leo nimerejea hapa jukwaani nikiwa na swali langu hapo juu, nipate kujibiwa kichwa changu kitulie.
Naamini wabobezi wa mambo ya kisiasa, wanasheria, wataalam wa mambo ya utawala, wazee wa nchi hii yenye maziwa na asali watanielimisha Kwa faida ya nchi yangu.
Wasalaam.