Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais, kwa upole wako na huruma kwa Watanzania na upendo ulionao kwao naomba kwa heshima kubwa uwafikirie kuwalipa fidia wale wote walioathirika na bomoa bomoa ya majumba yao kwa ajili ya utanuzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la...
15 Reactions
109 Replies
7K Views
Watu wanasemaga kwenye siasa kamwe usiseme kumaliza maneno kisa umekasirika au una raha sana moyoni. Huyu hapa ni mbunge wa CCM akiwa kwenye Bunge letu pendwa akiwasha moto juu ya wabunge na...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana. Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Maana akina Mengi na Manji walikuwa wanautaka enzi zile za 2014 Muhongo akawaambia wana kampuni za vibiscuit Sahv naskia Jiwe hautaki hata maana maslai hayako tz
2 Reactions
98 Replies
12K Views
Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini. Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake...
26 Reactions
184 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Kamishna Jenerali wa...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
KWA WALIOTUNGA SHERIA HII; KAMA RAIS NI MZALENDO NA MUADILIFU NI SABABU GANI IKAWEPO KINGA YA KUTOSHTAKIWA? Anaandika, Robert Heriel Moja ya sheria inayonifanya nione nchi yetu bado hatuko...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 51 leo Juni 20, 2023. Serikali imekamilisha utungaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na imeanza kutumika tangu Mei 1...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Jana ulifanyika mjadala mzuri ulioandaliwa na mediabrains lakini uliokosa balance nzuri ya watu waliostahili kuwa sehemu ya panel ile lakini hasa kukosa muda wa kutosha kudadavua mkataba...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Sikilizeni Video Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
7 Reactions
172 Replies
12K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu. Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakufunzi na washiriki wa kozi ya 11 ya Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College-NDC) walitembelea Ofisi za Ubalozi Riyadh kabla na baada ya ziara yao ya kimamfunzo nchini Saudi Arabia...
1 Reactions
9 Replies
654 Views
Kenya Tsh. Trilioni 63.2 Tanzania Tsh. Trilion 44.3 DRC Congo Tsh.Trilion 37.7 Uganda Tsh. Trilioni 34.3 Rwanda Tsh. Trilioni 9.5 Burundi Tsh.Trilion 3.5 South Sudan Tsh.Trilion 3.3 Zanzibar Tsh...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…