Ukubwa wa Bajeti za Mataifa ya Afrika Mashariki

Ukubwa wa Bajeti za Mataifa ya Afrika Mashariki

Hizo ni numbers tu
Ukitaka kujua ni bajeti zinazovutia kwenye makaratasi tu rejea bajeti zilizopita for 3yrs uone utekelezaji wake ulifika hata 80%!?
 
Hicho cha mwisho pamoja na bajeti ndogo lakini eti kanafurukuta kudai mapato tugawane sawa kwa sawa na bara.hiki ni kichekesho sana.
 
Zanzibar hiyo ya T 2.8 ni ya kwao kutoka mapato yao ila bado wana nusu ya budget ya huku. Kwahiyo kwenye 44 ya bara 22 ya kwao jumlisha 2.8 yao.
 
Zanzibar hiyo ya T 2.8 ni ya kwao kutoka mapato yao ila bado wana nusu ya budget ya huku. Kwahiyo kwenye 44 ya bara 22 ya kwao jumlisha 2.8 yao.
Kama ni hivyo basi tuna muungano wa kihuni na upuuzi wa kiwango cha sgr
 
Back
Top Bottom