Maamuzi yaliyofanywa ya KUUZA BANDARI YETU YA DARESALAAMU kwa siku na miaka isiyokuwa na ukomo (vizazi na vizazi/milele na milele),Yanaondoa uvumilivu,yanaleta jazba na Hali ya kutowaamini kabisa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amedai kuwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka jana ambaye wazazi wake waliamua kumuoza alilipiwa mahari ya ng'ombe 15.
Akizungumza na...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.
Maswali ya leo ni Bunge...
Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo..
Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA...
Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo.
Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya?
Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall!
Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio.
Sasa RC...
Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha...
Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu.
Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege...
Fedha ulizochukua kutoka kwa unayesema 'kaka' yako zimeonekana dhahiri kuwa zilikuwa katika mgogoro mkubwa.Ulichukua takribani 1.6 billion Tshs.
Pia imeonekana dhahiri kuwa uliudanganya umma...
Mko poa wana jamvi wenzangu?
Wiki iliyopita nilipita makao makuu ya nchi yetu,pale Dodoma.Moja kati ya maeneo ambayo huwa napendelea kuzuru niwapo Dodoma ni pamoja na Nyerere square...
Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni.
Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo:
1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali...
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini...
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa...
Ndugu zangu watanzania,
Mwaka 2010 Rais mstaafu wa awamu ya Nne mh Jakaya Mrisho Kikwete aliwaambia wafanyakazi wote kuwa zakuambiwa Changanya na zako, kauli hii aliitoa kufuatia kitisho...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe...
Habari wa jamvi
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kuhusiana na mienendo ya uchangiaji wa hoja mbalimbali bungeni,
Nimekuja na takwimu hizi
1-. 30% -ya wabunge ndio wanaochangia mada kila...
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...
Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!
Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 52, leo Juni 21, 2023
Kulaza Shule za Bweni watoto wenye umri chini ya Miaka 5
Naibu waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na...
Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa.
Anayejua anijuze...
Hayo magari yalikuwa ya nani?!
Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?!
Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?!
Kwa nini Ikulu ya...