NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 316
- 364
Habari wa jamvi
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kuhusiana na mienendo ya uchangiaji wa hoja mbalimbali bungeni,
Nimekuja na takwimu hizi
1-. 30% -ya wabunge ndio wanaochangia mada kila kikao cha bunge
2-. 24% ya wabunge kazi yao ni kupiga piga meza tu ,wakati wenzao wanachangia
3-. 23% ya wabunge uchangia mada kila baada ya miezi 6-7
4 .10% ya wabunge kazi yao kuingilia uchangiaji wa mtu kwa kusema "taarifa taarifa mh spika"
5. 9% ya wabunge kuchekesha bungeni tu
6.3% ya wabunge kuleta wageni wao na kuwatambulisha bungeni
7. 1% ya wabunge usubiri muda wa kuahirisha bunge ili wakanywe chai