Kishindo cha MNEC Mlao Pwani chakemea wazushi na waeneza Propaganda chafu

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Jumamosi, Juni 24, 2023.
Kibaha, Pwani.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Ramadhani Mwinshehe Mlao ( MNEC ) ameshiriki kama Mgeni Rasmi Katika Ufunguzi wa Baraza la Kawaida la UVCCM Mkoa Wa Pwani.

Katika Baraza hilo MNEC Mlao amempongeza na kumshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwà kuendelea kuwaamini vijana katika serikali yake na kuwateua vijana zaidi ya 75% kwa ajili ya kumsaidia kazi kwenye maeneo tofauti nchini na kuwaomba vijana wote walioaminiwa wakafanye kazi kwa weledi na nidhamu ya kutosha ili kulinda imani zao na kufanya vijana wengine waweze kuaminiwa zaidi.

Aidha Baraza hilo lilohudhuriwa na wajumbe wote MNEC Mlao amewashukuru wajumbe kwa kumuunga mkono na kumchagua kama Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa na kuahidi kuendelea kushirikiana nao kila hatua ambapo amesisitiza Pwani ni Mkoa ulioanzisha safari yake ya kisiasa hivyo ni nyumbani na wakati wote atakuwa nao pamoja.

Pia amesisitiza kuwa uchaguzi ndani ya chama umeisha na sasa ni muda wa kufanya kazi kwa nguvu na umoja mkubwa na kuendelea kuwa na Umoja, Ushirikiano na nidhamu baina yao ili kuhakikisha wanaendelea kuijenga vyema Jumuiya ya vijana na chama kiujumla.

Katika hatua nyingine MNEC Mlao amewataka wenyeviti wa UVCCM wilaya zote katika mkoa wa Pwani kufanya ziara za utendaji kazi katika maeneo yao hata hivyo amewataka kukanusha vikali maneno ya uzushi yanayosemwa mtaani kuwa Bandari imeuzwa na Nchi imeuzwa na kusema;

"Hakuna kitu cha Namna hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassana anawapenda watanzania kinachofanyika ni kuangalia namna nzuri ya uwekezaji wenye tija katika Bandari yetu ambao utasaidia uchumi wetu kukua na Bandari yetu kufanya kazi kwa ufanisi na usasa zaidi"

Pia MNEC Mlao amekemea vikali na kuwasihi vijana kuepukana na kuhubiri Udini, Ukabila na Ukanda baina yetu kwani kufanya hivyo italiingiza Taifa katika Migogoro mikubwa na kuwaomba kuendelea kuhubiri Umoja na mshikamano ambayo ni nguzo yetu muhimu katika Taifa.

Aidha MNEC Mlao ameweza kuchangia mashine ya Photocopy Moja na Mashine ya kuoshea Magari kwa ajili ya kuanzisha Car Wash kwa UVCCM mkoa wa Pwani kama walivyoomba ili kuanzisha mradi wa kiuchumi.

#MimiNiNyinyi

IMG-20230625-WA0173(1).jpg
IMG-20230625-WA0177(1).jpg
IMG-20230625-WA0178.jpg
IMG-20230625-WA0179.jpg
IMG-20230625-WA0175(1).jpg
IMG-20230625-WA0176(1).jpg
 
KISHINDO CHA MNEC MLAO PWANI CHAKEMEA WAZUSHI NA WAENEZA PROPAGANDA CHAFU.

Uuzwaji wa bandari zote kwa waarabu na kuwaacha wananchi wapate tabu ni laana kwa CCM milele yote!
 
amewataka kukanusha vikali maneno ya uzushi yanayosemwa mtaani kuwa Bandari imeuzwa na Nchi imeuzwa na kusema;

"Hakuna kitu cha Namna hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassana anawapenda watanzania kinachofanyika ni kuangalia namna nzuri ya uwekezaji wenye tija katika Bandari yetu ambao utasaidia uchumi wetu kukua na Bandari yetu kufanya kazi kwa ufanisi na usasa zaidi"
Kauli kama hizi tunategemea zitakuepo san, cjajua kwann CCM imeshindwa wajenga vijana na kuwapa elimu juu ya kujenga hoja. Kinyume chake uvccm wanafundishwa kupinga, kukemea, na kutoa vitisho kwa wale wanaopinga masuala ya Nchi jins wanavyopelekwa!! Nitoe RAI yang kwa uvccm wote... Jifunzeni san kujenga hoja ili muweze kuwaambia watanzania kile ambacho ni kweli ili kuwa prove wrong mnaodai wanapotosha!!! NB; Huwez kumprove wrong mpotoshaji kwa kumtisha, kumkemea au kumtukana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom