Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji...
21 Reactions
72 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Wajumbe, Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona. Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai. Dubai wamekamata...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili 1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group ...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
"Niwaombe wenzangu wenye Hice (Daladala), Mabasi, Gari za Abiria kutoka Urowa kwenda Kahama zamani mlipandisha nauli kwasababu ya barabara mbovu. Kwanini msishishe nauli kuwasaidia wananchi!" -...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Imeridhika kuwapo mikakati ya wazi na siri ndani na nje ya nchi kuhujumu juhudi za Serilkali kuimarisha uchumi, RAIA MWEMA inataarifu. Serikali, kupitia Mamlaka ya Usimamzi wa Bandari Tanzania...
4 Reactions
65 Replies
9K Views
DP world nia yao kubwa ni kuzuia Tanzania huko mbele isiwe transit ya makontena na mizigo. Nia yao sio kupata faida. Hii ndiyo sababu ya kuweka zuio la badari nyingine ambazo haziwahusu. Nashauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akitaja Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA, amesema watashirikiana na Wananchi katika kupinga Mkataba wa Uendeshaji Bandari pamoja na mikataba mingine ya Siri inayoiingizia Nchi hasara. Pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema...
2 Reactions
2 Replies
720 Views
Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Sielewagi hiki kidude Huwa ni Nini au kinatumika kufanya Nini bungeni...kabala ya vikao kuanza Huwa kinaletwa na vikiahilishwa kinaondolewa pia...Kwa anae kielewa atusaidie Mimi na wasiojua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua...
1 Reactions
3 Replies
880 Views
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na...
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Mali nimemwelewa kabisa ndugu yetu mtaalum Johari dhidi ya utetezi wake wa mkataba wa Dp World nmemwele Sana na nikili kabisa yakuwa nmeelewa haswaaaa! Pamoja na utaalamu wake aliouonesha kwenye...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali imepeleka mswada bungeni wa kuifanya sheria ya kulinda rasilimali za taifa iliyotungwa mwaka 2017 na kusainiwa na aliyekuwa rais Hayati Magufuli kuwa isitumike tena ili kuwapa nafasi...
35 Reactions
26 Replies
2K Views
akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia...
1 Reactions
5 Replies
753 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…