Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Screenshot 2023-07-14 150529.png


akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki, mkataba ambao ni mbovu mpaka unafanya watu milioni 60 kuonekana watu wa ajabu.

Akiongeza kuwa haiwezekani watu hao wameingiza nchi katika mkataba huu mbovu na bado wameachwa tu mpaka sasa.
 
Mbowe akisoma maazimio hayo asema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki, mkata ambao ni mbovu mpaka unafanya watu milioni 60 kuonekana watu wa ajabu.

Akiongeza kuwa haiwezekani watu hao wameingiza nchi katika mkataba huu mbovu na bado wameachwa tu mpaka sasa
Kumekucha
 
Mbowe akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki, mkataba ambao ni mbovu mpaka unafanya watu milioni 60 kuonekana watu wa ajabu.

Akiongeza kuwa haiwezekani watu hao wameingiza nchi katika mkataba huu mbovu na bado wameachwa tu mpaka sasa.
Akiongeza kuwa haiwezekani watu hao wameingiza nchi katika mkataba huu mbovu na bado wameachwa tu mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia aendelee kuziba masikio, ajue na kelele ndio zinazidi toka kila upande.

Wakati wakiwatisha wengine kwa kupekua nyumba zao, huku wengine ndio wanaamka, huwezi kuwageuza watanganyika watumwa ndani ya nchi yao kisha wakutazame tu kama mazezeta, haiwezekani.

Samia kwa ule mkataba wa hovyo ametukosea na ni lazima auvunje, amegeuka kuwa msaliti asiye hata na neno moja la kujitetea kwa zaidi ya wiki tatu sasa.
 
Back
Top Bottom