Nini maana ya hiki kitu bungeni?

Bishazo_june

Member
Jul 3, 2023
42
54
Sielewagi hiki kidude Huwa ni Nini au kinatumika kufanya Nini bungeni...kabala ya vikao kuanza Huwa kinaletwa na vikiahilishwa kinaondolewa pia...Kwa anae kielewa atusaidie Mimi na wasiojua wengine....
Naomba jina lake...
Lengo la kuwa bungeni ...
Kilianza kutumika lini...
Na ni utamaduni wa wapi wa kuwa na kidude Cha hivi.....
Kwa Nini kinaondolewa na kuletwa kila siku...
IMG-20230710-WA0001.jpg
 
Hiki ndio kinafanya wale chawa wa CCM pale bungeni kusema ndio ndio na kupiga makofi kwa kila kitu kinachopelekwa bungeni hata kama kina madhara au hasara kwa nchi. Sijui CCM wameweka nini mle ndani
 
Hili sio jibu simple coz tunaomba kujua maana hasa ya hiki kidude??? Kuwepo kwenye mabunge mengine sio issue...shida ni Kwamba kipo Kwa ajili ya kazi gani????
Si ndio maana kaliita jibu lake "simplest", yaani "shallow answer", kwa mtazamo wangu. Sasa ngojea wenye "serious answers" waje.
 
Dola ina mihimili mitatu: Serikali ikiwa na nembo ya bibi na Bwana. Mahakama na nembo ya mizani pamoja na Bunge ikiwa na Siwa. Hizi ni nembo tu kitofautisha mhimili mmoja na mwingine. Tungeweza kuweka hata jino la tembo. Mnaweka mlichonacho. Kumbuka pia ni dhahabu tupu. Kuna hoja Sasa ibadikishwe kuwa ya Tanzanite.
 
So kinaitwa Siwa????
 
So hiyo Siwa inaelezea Nini???? Maana ya zile alama kwenye nembo ya taifa tunazijua ....maana ya mizani kwenye nembo ya mahakama ni haki???? Je hiyo Siwa inaashiria Nini???? Yani ni alama ya Nini kwenye taifa hili...ni kielelezo Cha kitu gani????
 
Back
Top Bottom