Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu.

Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari yetu.

Kwa kuwapa DP World, muhimu ni kwamba, SGR yetu itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
 
Kwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.

Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.

Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Watutumbukize baharini wachukue nchi ikiwa haina watu.
 
Kwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.

Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.

Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Mimi naishauri Serikali, waipe Dubai Ikulu ya Dodoma kwa kuanzia waiendeshe wao. :confused:
 
Kweli kabisa.

Watanzania hatuna uwezo wa kuongoza chochote: tumeshibdwa mwendokasi, Atcl, Ttcl, wizara, vyuo vikuu, mashule ya msingi na sekondari. Hospitali etc.

Bora tuwape Dubai world tu, Sisi tuwe manamba.
 
sekta zote wizi na upigaji ndo tunaweza.
Kwa mfano ttcl licha ya kumiliki miundombinu yote ya mawasiluano, lakini haijawahi kupata faida yoyote, kama ilivyo Atcl
Watu wanajipigia tu na serikali bado inawapa ruzuku ambayo nayo wanaitafuna
 
Ukinunua gari au boda boda dereva akawa haleti hesabu akatokea dereva ambaye ataleta hesabu utampatia anayeleta hesabu hata kama dereva mzembe ni mwanao wa kuzaliwa. Nchi inahitaji maendeleo na njia iliyotumika kwenye bandari ni kuondoa watu wachache wanaofaidika na bandari na kuweka wawekezaji watakaolipa serikali na zile pesa kutumika kwenye maendeleo.
 
Kwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.

Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.

Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Wazo nzuri ili upate MAENDELEO MAKUBWA
 
Kilimanjaro hotel ilipokuwa mali ya serikali ufanisi wake ulikuwa -30, baada ya kuuzwa hotel ilikarabatiwa na kuwa na hadhi ya nyota*****.

Kwa sasa Serikali inavuta kodi kila siku na hakuna cha kuwapa ruzuku wala nini.

Tusipowapa SGR yetu, wandeshaji mahiri kama DP world, tutegemee reli yetu kufa ndani ya miaka miwili.
 
Tena haimalizi miaka 10 si tunaona mabasi ya mwendokasi, shagalabagala.
 
Kweli sgr serikali haitoweza kuiendesha,bora waingie ubia
Watafeli mapema sana

Ova
 
Ukitaka kujua kama wabongo tunaweza kuendesha vitu au la panda treni ya kwenda Kigoma utakuja kusema hapa. Au panda mwendokasi ujionee
 
Ukinunua gari au boda boda dereva akawa haleti hesabu akatokea dereva ambaye ataleta hesabu utampatia anayeleta hesabu hata kama dereva mzembe ni mwanao wa kuzaliwa. Nchi inahitaji maendeleo na njia iliyotumika kwenye bandari ni kuondoa watu wachache wanaofaidika na bandari na kuweka wawekezaji watakaolipa serikali na zile pesa kutumika kwenye maendeleo.
Wafanya kazi TPA wengi ni wazembe,wavivu ,madharau tu
Wezi
Wanafanya kazi kwa mazoea
Acha dp waje wawanyooshe
Mambo mengine watajuana wenyewe huko

Ova
 
Tumeirithi reli ya Wajerumani tumeiua, tumejengewa reli na wachina tumeiua, tusipowapa DP World hata hii tutaiua

Namuunga mkono mleta mada 100%
Mwendokasi tu wanambwelambwela
Vyoo vya umma tu kuvisimamia hatuwezi
Sgr wataiweza wapi hawa
Sahv sisi tunajuwa kukata mauno jukwani basi

Ova
 
Kwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.

Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.

Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Iwaongezee na ikulu na kila kilichomo
 
Back
Top Bottom