Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika...
22 Reactions
145 Replies
16K Views
Habari wanabodi, Tunaohangaika na ukomo wa mkataba wa DP World tusizunguke sana kwani hawa jamaa wa Dubai walishamfuata Hayati Magufuli na mapendekezo yao lakini Meko akawatolea nje. Baadaye...
13 Reactions
23 Replies
3K Views
Updates kesi ya bandari. Majaji wanaingia muda huu saa 14:45 Kalani anataja namba ya kesi. KESI YA KIKATIBA NA.5/2023 Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote. MAWAKILI...
19 Reactions
26 Replies
9K Views
Nimeikuta hii mahali. CCM tumezoea kusifiwa tu na kuimbiwa nyimbo kama mazezeta. Mwaka 2017 wakati kamati ya prof Mruma na Osoro wanatoa ripoti, Tundu Lissu aliita ile ripoti “proffessorial...
32 Reactions
56 Replies
9K Views
Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine. Hatutaki...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho. Condester...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
ELIMU YA BURE.. Anaandika TUNDU ANTIPAS LISSU, Hotuba ya jana ya Rais Magufuli ni ushahidi mwingine, kama bado kuna shaka, ya rule of state lawlessness ambayo mtukufu anatuingiza kama taifa...
58 Reactions
433 Replies
52K Views
WAZIRI MHE. DKT. ASHATI KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA VIFAA TIBA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata...
0 Reactions
2 Replies
533 Views
aada ya CCM kupora uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na kuongoza halmashauri, wananchi wa Jiji la Arusha tunasikitika kuona mbunge na madiwani wake wamesahau jukumu la kuwaletea wananchi maendeleo na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Kitu dhahiri na Cha wazi , mitandao ya kijamii Ina ipa shida serikali ya ccm na mifumo ya inchi. Mambo yalio kua siri ya serikali yanakua wazi kwa hadhara ya watanzania na upinzani / wenye kutaka...
2 Reactions
2 Replies
466 Views
Wale wataalamu wa sheria za kimataifa na masuala ya mikataba endapo serikali ya nchi fulani itavunja mkataba na pia kukataa kulipa fidia za kesi inayoshindwa katika mahakama za usuluhishi...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao...
80 Reactions
296 Replies
23K Views
Mikataba mirefu kwa maana ya idadi ya kurasa za mikataba na muda wa mikataba yenyewe ni mtego mkubwa sana linapokuja swala la uvunaji rasilimali, inakuwa kama ndoano mdomoni mwa samaki...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…