Kitu dhahiri na Cha wazi , mitandao ya kijamii Ina ipa shida serikali ya ccm na mifumo ya inchi. Mambo yalio kua siri ya serikali yanakua wazi kwa hadhara ya watanzania na upinzani / wenye kutaka mabadiliko wanapata fursa ya kutema nyongo pasipo shaka ya hujuma za kuhujumu serikali.
Ivyo Basi nivema serika ichukulie swala hili Kama zama mpya na mambo mapya wajipange upya ikiwezekana wakubali ushindani wenye tija . Wafungue milango ya majiliano na watu wenye kua na nafasi zenye maamuzi ya kitaifa wapatikane kwa ushindani wenye uwazi.
Yale mambo ya teuzi na ujamaa yamepitwa na wakati, usili serikalini umebakia kwa mambo baadhi. Ila serikali lazima iendeshwe kiuwazi na kiushindani.
Tusipo kubali mabadiliko , dunia itatubadilisha, Tanzania sio kisiwa. Kazi kwenu wenye inchi subilini kua sweeped by changes.
NO SECRET IN GOVERNANCE , COMPETITION IS INEVITABLE FOR FUTURE GENERATION NO ONE IS TITLED TO RULE OVER OTHERS JUST BECAUSE HE/SHE BELONG TO PARTICULAR FAMILY WITHOUT NECESSARY QUALITIES.