Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa

Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi Tanzania tunaajiri mawakili wa kigeni kututetea wakishirikiana na mawakili wachache wa Tanzania.

Pamoja na kuajiri wageni hao kututetea kesi asilimia kubwa tunashindwa na kutakiwa kulipa fidia. Hakuna mtu anayekubali kesi tunazo shindwa zifahamike kwa watanzania zote ni siri hadi ziwe published huko nje.

1. Kama hatuna wanasheria wazawa wakututea tunaposhtakiwa kwa kukiuka masharti ya mikataba, tumepata wapi wanasheria wakiingia mikataba?

2. Tutaendelea kushtakiwa na kulipa fidia hadi lini?

3. Haiwezekani fedha nyingi zinazotokana na mkataba kama wa bandari zikatumika kulipa madeni tunayodaiwa kwa kuvunja mkataba?

4. Kama ndivyo, ni lini kama Taifa tutaamua kusubiri tuandae watu wakutusaidia kuingia mkataba na pia kutetea mikataba yetu hasa ya rasilimali zetu?

Pia soma: - Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260
 
Pia soma:
Na DPworld watafanya hivi hivi tena wa kwao utavunja rekodi siku tukiuvunja baada ya kugundua viongozi wetu waliingia mkataba wa ajabu
 
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa

Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi Tanzania tunaajiri mawakili wa kigeni kututetea wakishirikiana na mawakili wachache wa Tanzania.

Pamoja na kuajiri wageni hao kututetea kesi asilimia kubwa tunashindwa na kutakiwa kulipa fidia. Hakuna mtu anayekubali kesi tunazo shindwa zifahamike kwa watanzania zote ni siri hadi ziwe published huko nje.

1. Kama hatuna wanasheria wazawa wakututea tunaposhtakiwa kwa kukiuka masharti ya mikataba, tumepata wapi wanasheria wakiingia mikataba?

2. Tutaendelea kushtakiwa na kulipa fidia hadi lini?

3. Haiwezekani fedha nyingi zinazotokana na mkataba kama wa bandari zikatumika kulipa madeni tunayodaiwa kwa kuvunja mkataba?

4. Kama ndivyo, ni lini kama Taifa tutaamua kusubiri tuandae watu wakutusaidia kuingia mkataba na pia kutetea mikataba yetu hasa ya rasilimali zetu?

Pia soma: - Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260
Tatizo siyo wanasheria. Tatizo ni watawala mbumbumbu. Wewe unafikiri kwa mkataba ule wa kishenzi wa DP, utakapouvunja, unadhani nchi itashinda?
 
Wanasheria wetu wanachoweza ni kutoa ufafanuzi wa mikataba na wakaeleweka kwa akina Zembwela tu!
Huko kwenye Mahakama za Kimataifa hawana chochote wanachojua zaidi ya kusema tu ; Zeee, Zeee, Zeee contract... basi!
 
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa

Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi Tanzania tunaajiri mawakili wa kigeni kututetea wakishirikiana na mawakili wachache wa Tanzania.

Pamoja na kuajiri wageni hao kututetea kesi asilimia kubwa tunashindwa na kutakiwa kulipa fidia. Hakuna mtu anayekubali kesi tunazo shindwa zifahamike kwa watanzania zote ni siri hadi ziwe published huko nje.

1. Kama hatuna wanasheria wazawa wakututea tunaposhtakiwa kwa kukiuka masharti ya mikataba, tumepata wapi wanasheria wakiingia mikataba?

2. Tutaendelea kushtakiwa na kulipa fidia hadi lini?

3. Haiwezekani fedha nyingi zinazotokana na mkataba kama wa bandari zikatumika kulipa madeni tunayodaiwa kwa kuvunja mkataba?

4. Kama ndivyo, ni lini kama Taifa tutaamua kusubiri tuandae watu wakutusaidia kuingia mkataba na pia kutetea mikataba yetu hasa ya rasilimali zetu?

Pia soma: - Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260
Hili suala la bandari ni somo tosha kuhusu wanasheria wa serikali.
Nimegundua tatizo siyo wanasiasa tu hata watendaji wana uwezo mdogo.
 
Hizi dili kubwa ni za JK na Rostam maza hawezi kuzuia chochote
Mkuu tuache kutafuta kichaka...

Haya mambo yapo kwenye katiba mbovu, tunapata viongozi wabovu..
Mwisho hawajui kusolve matatizo yanapojitokeza..

Unafikiri hata kama mkataba ni mmbovu.. We unaamka na kuvunja tuu...?
Ina maana huwezi kufanya majadiliano hadi inatokea hasara ya Billioni 260?
 
Hii case akina JK waliikomalia wanajua pakutokea
 
Mkuu JK hayupo...
Kulikuwa na leseni ya kuhifadhi hayo madini...
Na kulikuwa na sheria ya madini ya mwaka 2010, sasa kaja mwekezaji kaangalia sheria zetu.. Akazikubali na kuingia mikataba mbalimbali..

Sasa ghafla sheria zikabadilika 2017.. Unamwambia mwekezaji nakufutia leseni kwa sheria ya 2017 wakati yeye ameingia makubaliano kwa sheria ya mwaka 2010...

Huoni hapo ilitakiwa yafanyike mazungumzo ya kiusuluhishi pamoja na kumlipa kwa makubaliano gharama alizotumia mwanzoni ili tusiweze kumuumiza mwekezaji?

Kingine pia Jiwe alikuwa binadamu... Huwezi kusema kila alilolifanya lilikuwa sahihi
 
1. Kama hatuna wanasheria wazawa wakututea tunaposhtakiwa kwa kukiuka masharti ya mikataba, tumepata wapi wanasheria wakiingia mikataba?

Natamani Mh. Dr. Samia aione hii point.
 
Jiwe nilimpiga kwa mambo mengi sn lakini kwenye rasilimali za nchi alikuwa vizuri sn
 
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa

Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi Tanzania tunaajiri mawakili wa kigeni kututetea wakishirikiana na mawakili wachache wa Tanzania.

Pamoja na kuajiri wageni hao kututetea kesi asilimia kubwa tunashindwa na kutakiwa kulipa fidia. Hakuna mtu anayekubali kesi tunazo shindwa zifahamike kwa watanzania zote ni siri hadi ziwe published huko nje.

1. Kama hatuna wanasheria wazawa wakututea tunaposhtakiwa kwa kukiuka masharti ya mikataba, tumepata wapi wanasheria wakiingia mikataba?

2. Tutaendelea kushtakiwa na kulipa fidia hadi lini?

3. Haiwezekani fedha nyingi zinazotokana na mkataba kama wa bandari zikatumika kulipa madeni tunayodaiwa kwa kuvunja mkataba?

4. Kama ndivyo, ni lini kama Taifa tutaamua kusubiri tuandae watu wakutusaidia kuingia mkataba na pia kutetea mikataba yetu hasa ya rasilimali zetu?

Pia soma: - Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260
Paskal Mayalla saidia kuokoa jahazi linazama baba.
 
Inauma mpaka kumoyo aisee

Hii shida mpaka lini?

Tumezindikwa watanganyika?
 
Ngoja tutamtuma shyshy babalevel mwijaku kitenge stv nyerere zembewela kutusimamia

Ova
 
Back
Top Bottom